mwakizega
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 165
- 84
Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti yangu ni:
Suti ni 120,000/=
Viatu 40,000/=
Shela ya bibi harusi 150,000/=
Kama yupo anayefahamu ninakoweza kupata vitu hivyo naomba msaada plz. It's serious wakuu
Suti ni 120,000/=
Viatu 40,000/=
Shela ya bibi harusi 150,000/=
Kama yupo anayefahamu ninakoweza kupata vitu hivyo naomba msaada plz. It's serious wakuu