Nahitaji mavazi ya harusi

mwakizega

Senior Member
Apr 7, 2015
165
84
Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti yangu ni:

Suti ni 120,000/=
Viatu 40,000/=
Shela ya bibi harusi 150,000/=
Kama yupo anayefahamu ninakoweza kupata vitu hivyo naomba msaada plz. It's serious wakuu
 
Harusi ni zaidi ya Mavazi Mkùu...!

Vaeni hata nguo za michezo (Traksuit) kitakacho fuata baada ya hapo, ni maisha yenu nyinyi wawili ...

Karibu kwenye Chama cha Uanaume halisi...just relax..

Wewe ulivaa track suit? Hebu mwambie mwenzako bwana
Mie nimeomba kujua mahali wanakouza mavazi hayo kwa bei ya wastani kulingana na kamfuko kangu na hasa ukizingatia namna mkuu wa kaya alivyokaza vyuma....nasubiri kupata msaada kutoka kwa wadau wenye uzoefu katika eneo hili.
 
24882d8007254b1175bf13d4970ed73c.jpg
Nitafute pm
 
Habari yako mkuu.

Mwezi uliopita kwa neema za Mungu nilibahatika kufunga ndoa. Nikutie moyo, ndoa sio garama kubwa kama watu wanavyodhani.

Gharama kwa ajili ya mavazi nilizotumia:

Kiatu changu: 20,000/=
Kiatu cha mwenzi wangu: 25,000/=
Suti yangu nilishonesha kwa gharama ya 60,000/=

Shella la mwenzi wangu niliagiza toka aliexpress, asikwambie mtu, Tz hiyo nguo ni bei ngumu sana, lakini hadi inafika tz ilinigharimu tsh. 165,000/= of which kwa tz inauzwa 480,000/= na ilichukua siku 9 tu hadi kufika mikononi mwangu.

44d3d3330989ba9c53c440e5dd67684d.jpg

Kwa maelezo zaidi waweza niuliza hapa.
 
Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti yangu ni:

Suti ni 120,000/=
Viatu 40,000/=
Shela ya bibi harusi 150,000/=
Kama yupo anayefahamu ninakoweza kupata vitu hivyo naomba msaada plz. It's serious wakuu
Umegusa moyo wangu mkuu.
Ubarikiwe kwa mada nzuri na tamu kwangu pia
 
Kama upo dar, pale kamata kuna mall inaitwa mkuki, floor ya kwanza kuna duka la suti nzuri sana afu bei rahisi
 
Habari yako mkuu.

Mwezi uliopita kwa neema za Mungu nilibahatika kufunga ndoa. Nikutie moyo, ndoa sio garama kubwa kama watu wanavyodhani.

Gharama kwa ajili ya mavazi nilizotumia:

Kiatu changu: 20,000/=
Kiatu cha mwenzi wangu: 25,000/=
Suti yangu nilishonesha kwa gharama ya 60,000/=

Shella la mwenzi wangu niliagiza toka aliexpress, asikwambie mtu, Tz hiyo nguo ni bei ngumu sana, lakini hadi inafika tz ilinigharimu tsh. 165,000/= of which kwa tz inauzwa 480,000/= na ilichukua siku 9 tu hadi kufika mikononi mwangu.

44d3d3330989ba9c53c440e5dd67684d.jpg

Kwa maelezo zaidi waweza niuliza hapa.
Barikiwa kwa mwongozo wako...nadhani baada ya majibu ya duka nililoelekezwa pale Kamata naweza kuleta mrejesho hiyo kesho
 
Habari yako mkuu.

Mwezi uliopita kwa neema za Mungu nilibahatika kufunga ndoa. Nikutie moyo, ndoa sio garama kubwa kama watu wanavyodhani.

Gharama kwa ajili ya mavazi nilizotumia:

Kiatu changu: 20,000/=
Kiatu cha mwenzi wangu: 25,000/=
Suti yangu nilishonesha kwa gharama ya 60,000/=

Shella la mwenzi wangu niliagiza toka aliexpress, asikwambie mtu, Tz hiyo nguo ni bei ngumu sana, lakini hadi inafika tz ilinigharimu tsh. 165,000/= of which kwa tz inauzwa 480,000/= na ilichukua siku 9 tu hadi kufika mikononi mwangu.

44d3d3330989ba9c53c440e5dd67684d.jpg

Kwa maelezo zaidi waweza niuliza hapa.
Mkuu kwema??
Hiyo suti uliyoshonesha unaweza kutuwekea hapa kapicha kake tuione aisee??
 
Ila hapo ni suti tu hawana shela
Sawa tu...nadhani bafo sio mbaya. Muhimu ni kupata vjtu hivyo....pengine atakuja pia mtu anayefaham mahali ninakoweza kuipata hiyo shela. Naomba uni-pm namba yake kama hutojali
 
Back
Top Bottom