Nahitaji mashine yoyote ili nipate kufanya ujasiriamali

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Wajasiriamali habari zenu!
Naomba mnipe ushauri nna rafiki yangu dubai kaamua kunisaidia kwa kunipa ofa nichague vifaa au mashine ya kufanyia kazi.
wakati bado nafkiria na nyie naombeni mawazo yenu mashine gani itanifaa kwa tanzania hasa sehemu ya arusha.
Me nilifkiria mashine ya kusafisha asali na kupack
 
Mashine yoyote tena, we unataka kufanya ujasiriamali wa nini..... Wewe ndo uchague kazi so mashine ikuchagulie
 
Wajasiriamali habari zenu!
Naomba mnipe ushauri nna rafiki yangu dubai kaamua kunisaidia kwa kunipa ofa nichague vifaa au mashine ya kufanyia kazi.
wakati bado nafkiria na nyie naombeni mawazo yenu mashine gani itanifaa kwa tanzania hasa sehemu ya arusha.
Me nilifkiria mashine ya kusafisha asali na kupack
Fanya maamuz yaliyo sahih, hiyo ni nafasi adimu huwa aijitokez mara mbili, wengi huitaman ila hawaipati, subir kidgo wadau wanaoijua vizur arusha waje wakusaidie
 
Mkuu sijajua amepanga mashine ya gharama kiasi gani ila kama anaweza akupe Lethe Machine na drill kubwa hapo Arusha utapata hela Lethe iwe mita mbili kuendelea ni kea ajili ya kuchorongea vyuma hapo nimeona zipo chache na wanapata hela walizonazo...hata usipokua fundi wewe unaajili mafundi tuu na Ar nimeona hata mjini unarusiea kuweka...
 
Back
Top Bottom