Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,274
- 64,406
Tupo naye Kisesa ndiyo tunajongea mjini kati.Uko wapi?
We baharia hufaiUko wapi?
Hivi,huwa mnawapataje hao "crushes"? Wanaume ni kupeana mbinu tu na mchongo si fedha.Kuwa na marafiki wa maana, sio rafiki jina tu....
Cc.....my crush Mallerina
Tupe tafsiri
Uvuvi haramTupe tafsiri
Kumbe kuna kazi ya uvuvi wa samaki wapya?
Lazima kutembea na rula ya inchi thelathini.Uvuvi haram
Ukinipata mimi ni sawa umepata marafiki 10..... kwahiyo sahivi uko wapiWe baharia hufai
Emphatic "kueshoon"!Ukinipata mimi ni sawa umepata marafiki 10..... kwahiyo sahivi uko wapi
Nakutumia lokesheni sasa hivi, uje upate ata chupa mbili za kumalizia wikiendi.Ukinipata mimi ni sawa umepata marafiki 10..... kwahiyo sahivi uko wapi
Anavua kijanja na kwa wivu mkubwa sanaKumbe kuna kazi ya uvuvi wa samaki wapya?
Marvelous!Ametuzidi maujanja.Anavua kijanja na kwa wivu mkubwa sana
Hizo chupa mbili bill niwekewe mimi tafadhali, nitalipa.....Nakutumia lokesheni sasa hivi, uje upate ata chupa mbili za kumalizia wikiendi.