Nico ye Mbajo ni Muasisi mwenza wa gazeti la Sani - Yeye na rafikiye Said M. M. Bawji Walianzisha Gazetila Sani lililokuwa maarufu tokea Miaka hiyo ya 1980
. Sani ni muunganiko wa silabi za mwanzo za majina yao - 'SA' kutoka kwenye Said na 'NI' kutoka kwenye Nicco. Ndiye aliyewabuni wahusika wakongwei wa gazeti la Sani: Kipepe, Ndumilakuwili...huyu ni mkongwe asiyevuma lakini mwenye mchango mkubwa sana kwenye fasihi simulizi kupitia utunzi, uandishi na uchoraji. Inasemekana baada ya kutofautiana na Bawji ndiyo alianzisha jarida lake la 'Mcheshi'.
Kumbuka kuwa Miaka ile Ya Nyuma Majarida Vitabu na Michezo ya Redio ilitumika sana kuelimisha Jamii yetu ...Burudani ilikua kubwa sana kupitia Fasihi Andishi
Nico mwenyewe huyo hapo chini.
Chanzo: fesibuku

View attachment 1555689