Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Unajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde😂😂😂😂
Jamaa umetisha sana! hahahahahaha!
 
Unajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde
Hahahah daah siku zinakimbia sana mkuu,hebu muombe lift lord lofa hapo chini usikie majibu yake yatakavyokua
lodilofa.gif
 
Zama zangu nilikuta Ni gazeti la sani si jarida. Visa vya madenge, lodi lofa, bush stars, kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha, Zena na Betina.

Ila jarida nimekumbuka lile la Bongo tulikuwa watoto story za kiutu uzima lakini hivo hivo tunazifutatilia kibishi .

Good old days indeed
Bongo vs Tabasamu
 
Hilo jarida lilikuwa linazalishwa hadi miaka ya hivi karibuni. Ila lilibadilishwa likawa kigazeti fulani hivi kama haya ya udaku.

Sina hakika kama kwa sasa bado linazalishwa.

Ongea na watu wa magazeti uulizie ofisi za hao jamaa unaweza kuwapata.
 
Mkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?
Hizo kumbukumbu adimu gawa kopi mazee, og unakuwa nayo mwenyewe.
Hongera sana kwa utunzaji mkuu. maana sio kaz rahisi.
 
Hilo jarida lilikuwa linazalishwa hadi miaka ya hivi karibuni. Ila lilibadilishwa likawa kigazeti fulani hivi kama haya ya udaku.

Sina hakika kama kwa sasa bado linazalishwa.

Ongea na watu wa magazeti uulizie ofisi za hao jamaa unaweza kuwapata.
Kuna wajuzi wa mambo hayo watupe msaada wa mawasiliano au upatikanaji wake.
 
Kuna wajuzi wa mambo hayo watupe msaada wa mawasiliano au upatikanaji wake.
Hao akina Bawji lazma watakuwa maalwatani wa hapa town au tembelea kuna uzi kule uwanja wa historia utapata vichwa vya kukusaidia
 
Unajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde😂😂😂😂
Kuna mtu alikua anaitwa Mapung'o...alikua anapiga sana mpira alishaenda mpaka Madrid huko...akitokea Bush Stars...dah! What a moment!
 
Kuna mtu alikua anaitwa Mapung'o...alikua anapiga sana mpira alishaenda mpaka Madrid huko...akitokea Bush Stars...dah! What a moment!
Au ukipenda kwa jina jingine anaitwa MEKO😂😂😂
 
Hao akina Bawji lazma watakuwa maalwatani wa hapa town au tembelea kuna uzi kule uwanja wa historia utapata vichwa vya kukusaidia
Muasisi wa hili gazeti Said Bawji, alishafariki siku nyingi zilizopita. Akaliendeleza kaka yake aitwae Amri ambaye kwa sasa anaishi Tanga, ambako ndiko kwao.
 
Back
Top Bottom