Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

mzee niwezeshe namba yako inbox..tunaweza yascan kwa soft copy na kuyaanzishia thread hapa jamiiforums hawa vijana wapate kitu ni muhimu sana kwani ni sanaa inayokufa,,,,,,mi nipo dar mkuu
Ndiyo kitu nilitaka kusema, unaya scan zen unasambaza copy kuendeleza historia kizazi mpk kizazi.
 
Kichwa cha habari kinajieleza,

Mtakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na jarida la Sani, ambalo lilisheheni vituko vya kina, Madenge, Pro Ndumilakuwili, Lod Lofa, Pimbi,Ma Born Town na Ma Bush Stars, Betina na Mwenzake Zena, na mengine meengi.

Basi kwa mwenye archives ya magazeti haya, au kujua wapi naweza kuyapata kwa gharama nafuu, tafadhali naomba tuwasiliane.

Nataka nirudie tena kuyasoma, yalikuwa hayachoshi!
Kuna jamaa yangu anayo archive ya majarida haya ila amesema hawezi kukupatia kwa sababu hujawataja baadhi ya watu maarufu sana ndani ya jarida hilo wakiwemo Komredi Kipepe, Kifimbo Cheza na Sokomoko!
 
Mkuu, natanguliza kwa kuomba msamaha, lakini pia sikutaka kuwachosha wasomaji wa ombi langu, bahati nzuri wengi wamenielewa. nikuombe sana kama utakuwa nayo au kuniunganisha kwa huyo jamaa ako, nipige walau copy tu.
 
Hapana sina nilikuwa natania tu. Mimi niliyasoma sana majarida haya kati ya mwaka 1986-89 nikiwa O-level. Nasikia hata Mzee Sani na wajukuu zake naye pia analalamika kuwa umesahau kumtaja
 
Lakini kwa kipindi hiki ambacho information is super-unlimited, why go back that far to the old? There are a lot of substitutes for it. Unless kama ni kwa ajili ya vijana wako na si kwa ajili yako!
 
Hahaha, haina shida mkuu, kwa watu wenye mawazo ya Biashara, wanaweza kufanya biashara nzuri tu, hasa kwa sisi wa miaka hiyo, mambo ya tamthilia wengine hatuyawezi kabisa, tunaishia kukaa bar tu ili muda uende, nadhani nikiyapata muda wangu mwingi kwa sasa ntautumia kufurahisha nafsi kwa kusoma vutuko vilivyomo katika jarida hilo. hata kwa kurudia rudia baada aya muda wangu wa kazi
 
Lakini kwa kipindi hiki ambacho information is super-unlimited, why go back that far to the old? There are a lot of substitutes for it. Unless kama ni kwa ajili ya vijana wako na si kwa ajili yako!
Mkuu unaweza niambia substitutes ya jarida la sani ili nifanyie kazi, mbali na mambo ya movies na tamthilia? Binafsi i have gone that far kwakuwa nadhani itakidhi hitaji ya moyo wangu, na hii ni baada ya kuona kila ninachojitahidi kukifuatilia ili ku reflesh akili tofauti na \mpira naona hakinipi ile radha kama iliyokuwa katika jarida lile.
 
Mambo mengi mno yapo kwenye mtandao wa intenet, www. Kama ni mstaafu, nashauri ufunge pia Dstv. Hakikisha una channels kama Discovery channel, National Geographic
Sikiliza hii hapa pia:
 
Mkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?
Utampatia kama soft copy au utamuuzia au utamuazima ? Kwanini nauliza haya (soft copy ni bora) kuazima huenda akapoteza..., na kuuza!!!! Don't even go there.... (kama mama bado yu hai) anaweza kuona unaanza kumrithi wakati bado haujamzika....,
 
Mambo mengi mno yapo kwenye mtandao wa intenet, www. Kama ni mstaafu, nashauri ufunge pia Dstv. Hakikisha una channels kama Discovery channel, National Geographic
Sikiliza hii hapa pia:

Mkuu subsitute ya jarida la kufurahisha / kuchekesha ni Discovery Channel ? Sani ni kama comics; hata kina Tintin sio mbadala wa Sani (one is comic another is adventure) Pia taste ya mtu sio kwamba sababu yote ni magazeti basi ukikosa kusoma Uhuru basi utasoma Dimba...
 
Asante sana mkuu, nadhani nitaingiza katika ratiba yangu nikipendezwa na contents iliyomo. Shukrani sana
 
Mkuu subsitute ya jarida la kufurahisha / kuchekesha ni Discovery Channel ? Sani ni kama comics; hata kina Tintin sio mbadala wa Sani (one is comic another is adventure) Pia taste ya mtu sio kwamba sababu yote ni magazeti basi ukikosa kusoma Uhuru basi utasoma Dimba...
Dstv Premium ina kila unachohitaji. Bado zwapo akima Mc pilipili pia
 
Mkuu watching; reading ni tofauti..., pia DSTV haina gazeti la Sani..., ingekuwa hivyo basi mtu asingeulizia movie za James Bond sababu kuna movie nyingine za Kijasusi why James Bond. ?

Pia ingawa comics za Tintin pia zipo katika cartoon ila bado kuna watu wana - collect comics zake..., (different ball games)
 
nmesoma tin tin zote walahi na archie comic...ujana wangu ulikua mtamu
 
Utampatia kama soft copy au utamuuzia au utamuazima ? Kwanini nauliza haya (soft copy ni bora) kuazima huenda akapoteza..., na kuuza!!!! Don't even go there.... (kama mama bado yu hai) anaweza kuona unaanza kumrithi wakati bado haujamzika....,
Siwezi kuyauza kwakweli. Mother bado yupo na huwa anayarudiaga akowa bored. Nitakachofanya nitascan nitakayoweza then nitume soft copy freely
 
Mkuu uko sahihi kabisa, wakisema wazalishe na kuyaleta sokoni, wanaweza kutengeneza faida. Muda mwingine nawaza labda hawana hata back up au copy ya series za matukio ya jarida hilo.
Nitajaribu kufanya mawasiliano nao kwa contact lists walizokuwa wakiziatach na kuwashauri hili jambo, ikishindikana namtaguta cartoonist mwenyewe na kumpa business proposal ya kutengeneza pesa kupitia kazi zake.
 
Back
Top Bottom