Mkuu, asante kwa taarifa!Muasisi wa hili gazeti Said Bawji, alishafariki siku nyingi zilizopita. Akaliendeleza kaka yake aitwae Amri ambaye kwa sasa anaishi Tanga, ambako ndiko kwao.
Achana na hiki kichwa bob! Apumzike kwa amani, Kaduma J.Kaduma alipokufa au kufariki kila kitu kilipotea Sani

Hahahahahaha, hii combination adimu sana kuwahi kutokea duniani.
Wanatakiwa wa develop waingie ubia hata na wachina waanze kuzitengenezea animation watapiga sn pesa cz watoto kwa wakubwa watanunua.Hivi Sani wamefeli wapi? Ndo kusema yale magazeti hayakuwa na soko? Maana hata leo wakiachia nna uhakika watapiga pesa, soko liko vile vile as long as wanazungumzia na udaku pia kama magazeti mengine.
Mkuu uko sahihi kabisa, wakisema wazalishe na kuyaleta sokoni, wanaweza kutengeneza faida. Muda mwingine nawaza labda hawana hata back up au copy ya series za matukio ya jarida hilo.Hivi Sani wamefeli wapi? Ndo kusema yale magazeti hayakuwa na soko? Maana hata leo wakiachia nna uhakika watapiga pesa, soko liko vile vile as long as wanazungumzia na udaku pia kama magazeti mengine.
Jombaa nami usinisahau,nakumbuka mbali sana,mpamano wa soka Bush stars vs Born Town.....Mzee meko kontrol za hatari sana....Yapo home Dar, ila kwasasa nipo mkoa mmoja wa nyanda za juu Kusini kikazi mpaka tar 15.
Tutachekiana
Wanatakiwa wa develop waingie ubia hata na wachina waanze kuzitengenezea animation watapiga sn pesa cz watoto kwa wakubwa watanunua.
Walikuwa na watunzi wazuri,wachoraji hodari kama John Kaduma(R.I.P)...Mkuu uko sahihi kabisa, wakisema wazalishe na kuyaleta sokoni, wanaweza kutengeneza faida. Muda mwingine nawaza labda hawana hata back up au copy ya series za matukio ya jarida hilo.
Na tabia alizonazo Lissu hazitofautiani kabisa kabisa na NdumilakuwiliHahahaaaa..... Kofia ya Tundu Lisu anafanana sana na Prof Ndumilakuwili!
Ndumilakuwili na sokomoko hao
Hahahaaaa........!Na tabia alizonazo Lissu hazitofautiani kabisa kabisa na Ndumilakuwili
Nilikuwa napend zile story za picha na riwaya, Msako wa Mr.X, Anga za wenyewe,Na Wenye majarida ya Bongo na Tabasamu nao waonyeshe upendo kwa wajomba.
Zena na Betina na wale mapachaNdumilakuwili na sokomoko hao
Ndani ya gwanda Ufipa street.......hahahaaaa!
mzee niwezeshe namba yako inbox..tunaweza yascan kwa soft copy na kuyaanzishia thread hapa jamiiforums hawa vijana wapate kitu ni muhimu sana kwani ni sanaa inayokufa,,,,,,mi nipo dar mkuuUnajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde😂😂😂😂
Wazo zuri sana mkuu,mzee niwezeshe namba yako inbox..tunaweza yascan kwa soft copy na kuyaanzishia thread hapa jamiiforums hawa vijana wapate kitu ni muhimu sana kwani ni sanaa inayokufa,,,,,,mi nipo dar mkuu