Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Mkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?

mkuu,nakuomba u scan utuwekee hapa tafadhari
 
nakumbuka story moja katika sani na ndiyo iliyobeba cover nzima ilikuwa "hata ukioga mjini huendi" woiii full misisimko,ukizingatia niko primary ukisikia mambo ya kikubwa au kuona macho na masikio vyote vinachachamaa,kha! unaishia kusoma kwa wizi tuu..
 
Muasisi wa hili gazeti Said Bawji, alishafariki siku nyingi zilizopita. Akaliendeleza kaka yake aitwae Amri ambaye kwa sasa anaishi Tanga, ambako ndiko kwao.
Swadakta.....

Hapa 1986 ndo ilikuwa inaagwa na kukaribishwa 1987.

Bei ya gazeti shilingi 30/=

1598095996232.jpg
 
Muasisi wa hili gazeti Said Bawji, alishafariki siku nyingi zilizopita. Akaliendeleza kaka yake aitwae Amri ambaye kwa sasa anaishi Tanga, ambako ndiko kwao.
Nico ndo muanzilishi wa lile gazeti... enzi izo said anafanya kaz benk tanga... alipoielewa ile idea akamshawishi nico waiprint kwa ushirikiano(niko awe anasanifu, said awe anatoa pesa)... jina wakaita sani (SAid na NIco) baadae biashara ilivokua said akamdhulumu nico kwa kuwa jamaa wa watu hana tamaa akamuacha tu.... uaminifu kupita kias na kutojali kulimponza nico.... alilipwa mia4 tu ya kipindi icho tena kama msaada sio malipo ya mgao... so sad
 
Tupo pamoja mkuu. Nakumbuka ile michoro ya mwanzo mwanzo alikuwa anachora huyo Nico Ye Mbajo.
Baada ya kuachana na SANI, alianzisha gazeti lake lingine, jina nimelisahau kidogo!
 
Yah... yan sanaa ingekua inalipa hapa bongo.. mbajo angekuwa mbali sana.
Tupo pamoja mkuu. Nakumbuka ile michoro ya mwanzo mwanzo alikuwa anachora huyo Nico Ye Mbajo.
Baada ya kuachana na SANI, alianzisha gazeti lake lingine, jina nimelisahau kidogo!
 
Nico ndo muanzilishi wa lile gazeti... enzi izo said anafanya kaz benk tanga... alipoielewa ile idea akamshawishi nico waiprint kwa ushirikiano(niko awe anasanifu, said awe anatoa pesa)... jina wakaita sani (SAid na NIco) baadae biashara ilivokua said akamdhulumu nico kwa kuwa jamaa wa watu hana tamaa akamuacha tu.... uaminifu kupita kias na kutojali kulimponza nico.... alilipwa mia4 tu ya kipindi icho tena kama msaada sio malipo ya mgao... so sad
Duh hii ndo nasikia kwa mara ya kwanza. Kumbe jina la Sani mixer ya Said ni Nico duuh!!.

Said alifariki huyu Nico yukoapi?
 
lah aisee i wish.home ndio hivyo hatuna utunzaj yalikua kila toleo lazima linunuliwe. ndio nimejifunzia kusoma enzi hizo. hadith ya komando Obi na mzee Ole. na mzee meko kuja kununua trekta mpya mjin kakutana na lodilofa na yule mlev wakamuingiza mjin kumpeleka show room na kumuambia ajihesabie trekta ni lake
 
Walimuingiza king nae akaingia watu wakaondoka na kitita choote. Lodi lofa na Ndumila kuwili, ile pair haijawah tokea hahahahahah
 
Back
Top Bottom