Nahitaji kupata majani ya mnanaa

Hayo majani yapo mengi tu huwa yanatumika kama mafagio
 
Binafsi nikushukuru kupitia bandiko lako hapa , sikuwa naujua mmea huu na matumiz yake ,pia niwashukuru wachangiji wote maana wamenifungua macho Sasa! Yaweza kuwa msaada kwangu au kwa jamaa siku Moja .
 
Kwani haiongezi nguvu za kiume?
Hahaaa mtakimbiwa muwe mnalalamika kichini chini

Kuna kichekesho kimoja kina Joti walifanya kipindi kile cha kikombe cha Babu, Babu aliwaambia wagonjwa kwamba kwa anayetaka kikombe kwa ajili ya dawa ya Ukimwi apange mstari wa huku, hakuna aliyejitokeza. Baada ya Babu kuona mstari wa ukimwi hauna mtu akasema basi anairudisha ndani ile dawa ya ukimwi watu wakalalamika wanasema tupe tu na hiyo hiyo hata kama hatuumwi!
 
Hahahaa aliwaweza kweli. Hii huwa inatokea mahospitalini au kwenye maombi wanaambiwa anayeumwa ugonjwa fulani akae huku,pozi linaisha.
 
Hahahaa aliwaweza kweli. Hii huwa inatokea mahospitalini au kwenye maombi wanaambiwa anayeumwa ugonjwa fulani akae huku,pozi linaisha.

Kwa hiyo hata sisi tunasema hata kama hatuumwi tupeni tu hizo dawa, unaweza kukuta ni kinga pia ukimeza mapema huugui huo ugonjwa.
 
Hahaa Usijali ntakutafutia majani ya mpapai unapona kabisaaa.

Sawa asante, ila itabidi unihakikishie kwamba tutafanya test ili tuthibitishe kama dawa inatibu kweli. Ili usaidie kwenda kuwaambia wazee wenzangu Bonny na Asprin kwamba kweli dawa inatibu, maana ni wagumu kweli kukubali kama kuna dawa.
 
Akhaaa
test huko huko,mie natoa tiba tu
Sawa asante, ila itabidi unihakikishie kwamba tutafanya test ili tuthibitishe kama dawa inatibu kweli. Ili usaidie kwenda kuwaambia wazee wenzangu Bonny na Asprin kwamba kweli dawa inatibu, maana ni wagumu kweli kukubali kama kuna dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…