Mabasi na nauli kutoka Mwanza kwenda Songea/Mbinga

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
808
Baada ya Noeli nitasafiri kutoka Mwanza kwenda Mbinga Ruvuma.

Nahitaji basi linalosafiri moja kwa moja hadi Mbinga au linaloishia Songea.

Naomba kufahamu kampuni, mawasiliano yao na nauli.

Nawatakia Noeli njema.
 
20231206_153332.jpg
 
Back
Top Bottom