Nauli ya basi toka Nairobi mpaka Kisumu Kenya ni Shilingi ngapi?

chamng'asi

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
211
385
Naomba Msaada kwa Wenye kujua Nauli ya basi kutoka mji wa Nairobi nchini Kenya mpaka Kisumu.

Na je, safari hii huwa ya masaa mangapi?

Ikiwapendeza pia nijue nauli ya kutoka Dar es Salaam mpaka Nairobi na Mambo ya Kuzingatia kabla na wakati wa safari.

Nasisitiza tena nauli ya Mabasi sio Ndege.

Nawasilisha
 
20230405_152414.jpg
 
Mwaka jana mwishoni nilisafiri pande hizo kwa kulipa Kshs 1350 takribani Tshs 25,000/-.

Nilipanda basi moja linaitwa The Guardian tulitoka Nairobi saa 22:30 na kuingia Kisumu alfajiri majira ya saa 05:15, ni almost 6hrs na 30mins.

Kutoka Dar to Nairobi, ukipanda direct bus utalipa hadi 70,000/- ila ukipitia arusha na kupanda shuttle haifiki hiyo 70kl.

Jambo la kuzingati kuanzia Arusha ni jacket 🧥 mkuu, tena ikitokea ukaunganisha safari pale Nairobi muda wa usiku usikose hilo jacket muhimu sana, kuna eneo Nakuru kuifuata Eldoret kuna baridi sana.
 
Hivi mwanza kuna bus zinazokwenda Kenya
Binafsi sijui maana ni kitambo sana kupanda basi toka Mwanza enzi za Scandinavia ikitoka Mwanza saa 1430hrs na basi lingine la Akamba, siku hizi njia yangu rahisi ni shuttles bus, naokoa garama sometimes na muda.
 
Back
Top Bottom