Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Naomba kujuzwa basi zuri la kwenda iringa kutoka DSM.
Ikiwezekana tupe na contact for booking plesse
Ikiwezekana tupe na contact for booking plesse
Naomba kujuzwa basi zuri la kwenda iringa kutoka DSM.
Ikiwezekana tupe na contact for booking plesse
Hilo linapita Ludewa kama njia ya mkato kufika Iringa mjini.Mwafilika!
Ukipanda upendo bus jua utaodoka Dar saa 12 asubuhi na Iringa utafika saa 2 usiku na kunguni kama zawadi huko uendako, pls nakushauri panda ABC hutajilaumu!Upendo
Wamebadilika sana.Usiwasiginie kunguni midomoni mwao.😂Ukipanda upendo bus jua utaodoka Dar saa 12 asubuhi na Iringa utafika saa 2 usiku na kunguni kama zawadi huko uendako, pls nakushauri panda ABC hutajilaumu!
Hakuna zuri Wala Nini ...ni usafiri tu ...Kuna Kimotco,Arusha Express !Na bus zuri Arusha to Mbeya please
Naomba kujuzwa basi zuri la kwenda iringa kutoka DSM.
Ikiwezekana tupe na contact for booking plesse
Gari za route hii huwa ni scania maana ruti ndefuuuu.Na bus zuri Arusha to Mbeya please
Aka Spana mkononiGari za route hii huwa ni scania maana ruti ndefuuuu.
Kuna Arusha Express.
#YNWA
Na bus zuri Arusha to Mbeya please
ABCNaomba kujuzwa basi zuri la kwenda iringa kutoka DSM.
Ikiwezekana tupe na contact for booking plesse