Msaada: Safari yangu kutoka Kahama kwenda Dar

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Hamjambo Waungwana,

Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo kariakoo wa nguo za spesho

Lengo la bandiko
Naomba mnisaidie usafiri wa kutoka kahama basi lenye huduma nzuri,

Nikifika dar sina mwenyeji kipi cha kuzingatia Kutokana na huu ugeni wangu ndani ya jiji kubwa la daresalaam.

Exalioth yuda
Jamiiforums
Geita
 
Bro karibu dar,mi Niko kkoo mtaa wa Aggrey na Ndanda. Ninauza machine za bakery na vifaa mbalimbali. Ukihitaji msaada wowote wa kkoo nitakusaidia au nitakuunganisha na watu watakaokusaidia Ili kupata uenyeji. Karibu sana.
 
Asante weka namba zako pm
 
Kijana unakuja Mjini. Karibu ila tu uwe makini maana huku tunawapenda sana watu kama nyinyi.
 
Kwa urahisi zaidi,pandia Phantom,kuna coaster zinazokuja D'Slam zinatembea usiku. Sharti usiwe na mzigo. Utafika mida ya saa mbili hivi. Nguo kama ni mtumba au mpya,hujaeleza. Hakika itakuchukua siku mbili. Hapo utalala guest. Kesho yake angalia Happy Nation au Kisboo kwa ajili ya safari ya kurudi. Hapa unaweza panda linaloondoka saa tisa.
 
Kijana unakuja Mjini. Karibu ila tu uwe makini maana huku tunawapenda sana watu kama nyinyi.
Ndg mwana jf mwenzangu naomba uniope mwanga kidogo maana unajua hata wewe mtu anapokua sio mwenyeji sehem
 
Wewe unaonekana bado mshamba sana utatapeliwa mda si mrefu kabla haujafika hata huko dar, dunia iliyojaa utandawazi huu bado unaulizia gari lenye huduma nzuri si ugoogle tu utaona kila kitu.
Dar unatafuta mwenyeji? Utarudi kahama kwa miguu. Na ukija hapa JF kuomba msaada wa nauli uzi wako tutakuwa tunaupita kimya kama hatuuoni.
Hamjambo Waungwana,

Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo kariakoo wa nguo

Lengo la bandiko
Naomba mnisaidie usafiri wa kutoka kahama basi lenye huduma nzuri,

Nikifika dar sina mwenyeji kipi cha kuzingatia Kutokana na huu ugeni wangu ndani ya jiji kubwa la daresalaam.

Exalioth yuda
Jamiiforums
Geita
 
Kwa urahisi zaidi,pandia Phantom,kuna coaster zinazokuja D'Slam zinatembea usiku. Sharti usiwe na mzigo. Utafika mida ya saa mbili hivi. Nguo kama ni mtumba au mpya,hujaeleza. Hakika itakuchukua siku mbili. Hapo utalala guest. Kesho yake angalia Happy Nation au Kisboo kwa ajili ya safari ya kurudi. Hapa unaweza panda linaloondoka saa tisa.
Kwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupi
 
Back
Top Bottom