Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,257
- 34,205
Ukiwa na PhD unaongezewa daraja ngapi? Mfano ukaunga masters to phd..Ila cha kukusaidia..
Mshahara wa serikali hutambua Certificate, Diploma na Bachelor.
Iko hivi, mfano....
Mimi na wewe tuliajiriwa walimu diploma..
Ukaenda kusoma Law then ukaunga na masters.
Nikaenda kusoma BAED nikiishia hapo.
Wote tukarudi kazini.
Wewe utafanyiwa recategorization na kuanza na Mshahara TGS E ila kwa kuwa una masters utapewa TGS E3
Masters haina daraja la mshahara ila in added advantage, imekupa increment mbili.
Mimi nitafanyiwa categorization na kupewa TGS D1.
ELEWA KWANZA MAANA YA CATEGORIZATION na RECATEGORIZATION.
#YNWA