Nahitaji kubadilisha fani ya uwalimu

713

Senior Member
Apr 1, 2018
126
250
Ndugu wadau nilikuwa naomba ushauri wenu nipo kwenye ajira ya uwalimu kutokana na. Mda nilioka nahitaji kubadilisha kutoka uwalimu kwenda uhamiaji au Computer science au ICT katika wizara yoyote au hata ndani ya Elimu hiyo hiyo nina level ya Elimu shahada BAED naomba ushauri wenu nifanyeje ili nitimize malengo maana hivo ndio vitu ambavyo nilitaman kuvifanya tangu nakuwa ila kutokana na familia zetu na mambo ya mkopo wa chuo nikajikuta nimeangukia kwenye Uwalimu

Naomba kuwasilisha
 
Jick

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
594
1,000

Mwalimu hivi hiyo fani ya UHAMIAJI uliyoiandika hapo unamaanisha UHAMIAJI nayo ni fani???

Nawaonea huruma watoto unaowafundisha aisee.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,784
2,000

Lengo lako nini ?

Una mpango upi ?

Kusoma ili upande cheo, uongezwe mshahara, kuridhisa nafsi au kuacha kazi ya ualimu, kuijiajiri, kuajiriwa kwa taaluma mpya?
 
713

Senior Member
Apr 1, 2018
126
250
Mwalimu hivi hiyo fani ya UHAMIAJI uliyoiandika hapo unamaanisha UHAMIAJI nayo ni fani???

Nawaonea huruma watoto unaowafundisha aisee.

Uhamiaji niki maanisha wizara ya uhamiaji nimesema fani niki maanisha IT au computer science nafikiri uwandishi ila natumaini umenielewa
 
713

Senior Member
Apr 1, 2018
126
250
Yani binadamu tulivo mtu yuko tayari atafute kosa tu akukosoe iwe la kiuwandishi au kimamtiki ila hayupo tayari kukupa ushauri hata kama ameelewa ulichouliza ni sawa na karatasi nyeupe yenye nukta nyeusi utauliza tu kwa nini ina nukta nyeusi ila hutauliza mbona ni nyeupe binadamu ndivo tulivo
Hata kama mtu anashida ya kitu ataogopa kuuliza kwa kuogopa kukosolewa jamii forum
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,784
2,000
Ni ajiriwe mkuu
Unatafuta kupoteza tu Mkuu. Hali ya ajira sasa hivi siyo nzuri, unless utakuwa very competent jambo ambalo kwako naona kama litakuwa gumu sana.

Umechoka na taaluma ya ualimu au unatafuta mshahara mkubwa ?
 
Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
964
1,000
Ndugu wadau nilikuwa naomba ushauri wenu nipo kwenye ajira ya uwalimu kutokana na. Mda nilioka nahitaji kubadilisha kutoka uwalimu kwenda uhamiaji au Computer science au ICT katika wizara yoyote au hata ndani ya Elimu hiyo hiyo nina level ya Elimu shahada BAED naomba ushauri wenu nifanyeje ili nitimize malengo maana hivo ndio vitu ambavyo nilitaman kuvifanya tangu nakuwa ila kutokana na familia zetu na mambo ya mkopo wa chuo nikajikuta nimeangukia kwenye Uwalimu
Naomba kuwasilisha
Sikia huu USHUHUDA labda UTAWEZA kukusaidia..

Niliajiriwa Idara x katika halmashauri z, nilikua na diploma.

Ila kiukweli Mimi nilipenda sanaa fani y.

Baada ya miaka 2 nika apply chuo course y na kuomba ruhusa ya masomo.

Nikaenda kusoma masomo ya fani y.

Nikaunga na masters kabisaa ya fani y.

Nilivyorudi kutoka masomoni nikahamishiwa bomani kutoka kijijini nilipokuwa naitumikia fani x, nikawa mfanyakazi wa Idara y bomani.

Nikakuta mkuu wa Idara y amepata shavu la kwenda kusoma phD ulaya, hivyo nikawa na kaimu huku jamaa ananifundisha kazi.

Nasubiri mwezi wa 7 kufanyiwa RECATEGORIZATION ili niwe mkuu wa Idara kamili wa y.

Then na wewe.....

Nenda chuo kasome bachelor ya IT then maliza.
peleka Cheti kwa utumishi wako subiri RECATEGORIZATION.

Huku unasubiri kubadilishiwa muundo.

Ukimaliza unaweza kuwa unatafuta Kazi kwengine kupitia ajira.go.tz au wizara ya utumishi huwa wanapost nafasi kibao za kufanyia Kazi UN na AU na kwengine huko (int. Org) kwa watumishi wa umma..

Chukua hatua....

Mimi nilichukua hatua, sikutaka ndoto zangu zife.

Sikuipenda Kazi x, umasikini wa nyumbani ulinifanya nikaisomee na kuajiriwa serikalini ili tu nitoke kwenye mikono ya kulelewa na ndugu.

Sikuacha ndoto zangu za kuwa y KUFA.

#YNWA
 
713

Senior Member
Apr 1, 2018
126
250
Unatafuta kupoteza tu Mkuu. Hali ya ajira sasa hivi siyo nzuri, unless utakuwa very competent jambo ambalo kwako naona kama litakuwa gumu sana.

Umechoka na taaluma ya ualimu au unatafuta mshahara mkubwa ?

Nimechoka tu na taaluma ya ualimu Kazi nyingi maslahi madogo wakati kuna watu wana level ya Elimu hiyo hiyo lakin maslahi yao makubwa niliwaza nijiendeleze nikasome postgraduate diploma ya computer science au IT ni hame kabisa kutoka Ualimu niende sector nyingine ndani ya serikali niombe kubadilishiwa
 
Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
230
500
Mkuu tuliza akili fundisha watoto umeshaambiwa utapandishwa dalaja na madeni unayodai utalipwa pia mwakani mei mosi utongozewa mshahara tatizo unaona watumisha wa idara zingine wanakula bata sana umesahau usemi usamao "ajira nzuri ya mwenzio"
 
Elly255

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
875
1,000
Nimechoka tu na taaluma ya ualimu Kazi nyingi maslahi madogo wakati kuna watu wana level ya Elimu hiyo hiyo lakin maslahi yao makubwa niliwaza nijiendeleze nikasome postgraduate diploma ya computer science au IT ni hame kabisa kutoka Ualimu niende sector nyingine ndani ya serikali niombe kubadilishiwa
Ualimu ni wito, hukujua hilo mapema??
Af niaje we mwalimu hujui hata kuandika??
Unawafundisha manini watoto wetu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom