Kijana
Sikushauri kunywa pombe na zaidi tafuta starehe nyingine pombe kama huna hela nzuri utaishia kwenye madeni .
Pombe usipoweza kujidhibiti utakuwa na magonjwa ya zinaa kila uchwao .
Pombe ukiendekeza utafeli mipango ya maisha
Mwisho pombe ni uraibu mbaya kuacha sio rahisi .
Siongei nikiwa nyumbani naongea nikiwa bar nakunywa pombe kwa hela yangu ila sitamani uje huku .
Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka 14 , sasa mimi kwa maelezo yako ni baba yako , nilitamani kuacha nikiwa na miaka 29 sijafanikiwa mpaka sasa na uzee huu .
Pombe imenipunguzia heshima kwa jamii kubwa iliyodhani mimi ni mtu wa heshima kwa elimu yangu na kazi yangu .
Pombe imenipunguzia ufanisi kazini , pombe imepelekea sasa nina gonjwa lisilotibika japo lipo katika early stage hivyo naweza kupambana kupona nikiamua .
Pombe imenifanya vitu vingi kuamuliwa na ndugu na mke hata kama kitu naona naweza kuamua mwenyewe lakini bado naamuliwa kwa nguvu .
Ndugu sikushauri kunywa pombe , watakuja vijana sio muda watasema nakunywa matuputapu wambie sijaanza kunywa pombe Tanzania hivyo wakumbushe nje hakuna mataputapu .
Usinywe pombe .
Kwasasa Mbeya pazuri .
Basi mim nikiwa na stress hua sitak kabisa maswala ya vilevi.nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
Anza na gongo ila inabidi uwe umeshiba kabla ya kuifakamia, utasahau tu shida zako.nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
Umesema vizuri sana.Yaani siku hizi Kuna wimbi la vijana miaka 20 mpaka 30.utaskia uncle Nina stress,aunt Nina stress/Niko na depression..hapo bado yupo Kwa mzazi anapewa kilakitu.najiuliza hizi stress zote akifikisha 40,50 na familia juu itakuaje?.vijana jifunzeni kuwa wavumilivu.wote tumepitia kwenye hizo shida na kubwa sana,lakini ni mapito tu Iko siku yataisha.Pia tusimshau kumshirikisha Mungu Kwa kila jambo.Mungu Yuko na ukimwomba Kwa Imani anakusaida.Ila naona mtoa mada anatuchezea tu.Kwanza ni kijana mdogo sana,na sijui kama una changamoto kiasi Cha kutaka kunywa pombe,
Na aliekudanganya pombe inaondoa stress nae itakua alidanganywa
Hapo unasogeza mbele tatizo na pengine kuongeza tatizo
Sikushauri
Don't dare to start it [emoji24][emoji24][emoji24]itakupelekea kuwa na double stress za kiuchumi na kimaisha zaidi [emoji24][emoji24]nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
achana na pombe ndugu, zinakwenda kukumaliza
Ndiyo Vizuri Maana Atatulia SasaWine atapandisha mizuka na huku ametoka kutendwa!
Mid 20s tayari una stress ? Ukifikisha 40 itakuwaje?nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
Bia tamu weweBasi mim nikiwa na stress hua sitak kabisa maswala ya vilevi.
Achana na pombe, sababu zinazo kufanya uanze kutumia, na hofu ya kupoteza baadhi ya mambo pombe sio suluhisho,nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,