Nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga

itabiidi nikutafute mkuu waonakana una mawazo mapana sana kuhusu kilimo biashara
Thank you dear
Maadamu tungekuwa na watumishi wa wizara yetu kuhamasisha usafirishaji wa mazao yetu nje ya nchi bila usunbufu kwa hakika tungekuwa mbali sana kimaendeleo
 
Beetroots ndio zinalimwa huko Mgeta kwa wingi, Kwanini unalazimisha magimbi??? naona huuhitaji mchango wangu, kwa heri
Hahaha eti magimbi
Magimbi ni kama yam sasa unalazimishwa yawe magimbi mbona kazi
 
Beetroots ndio zinalimwa huko Mgeta kwa wingi, Kwanini unalazimisha magimbi??? naona huuhitaji mchango wangu, kwa heri
Mkuu usidhani nakudharau, mimi ni mwenyeji wa Morogoro na sijawahi kuziona ndo maana nasita , hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
 
Beetroots zinakuja sana Dodoma. Nililima mimi mwenyewe kwa ajili ya chakula in late 90. Dodoma Mlimani. Zilizaa tena kubwa sana. Zinahitaji Drainage ya kutosha lakini unamwagia. Ukifanikiwa hii jaribu Rockets nazo zinakuja Dodoma.
Kama upo makulu tafuta sehemu isiyo na udongo wa mfinyanzi. Mimi kwangu Mlimani ni udongo wa kujiachia kwa juu ingawa kwa chini ni mfinyanzi. Good luck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…