Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,359
- 45,552
Thank you dearitabiidi nikutafute mkuu waonakana una mawazo mapana sana kuhusu kilimo biashara
Maadamu tungekuwa na watumishi wa wizara yetu kuhamasisha usafirishaji wa mazao yetu nje ya nchi bila usunbufu kwa hakika tungekuwa mbali sana kimaendeleo