Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
matembele ni diet tosha,, kama unakula tembele unanenepa basi acha tu usihangaike utajiumiza bure.
 
sikuzote ka unadhamira ya kufanya jambo lazima ulifanyie utafiti wa kina, mfano nini chanzo cha kitambi? ukishajua ndo waanzisha vita na kisababishi, nikushauri hebu jaribu kula vyakula ambavyo havisababishi umwagaji wa insulini kwa wingi then epuka vyakula vinavyohifadhiwa katika mfumo wa mafuta baada ya mmeng'enyo wa mwisho.
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Vipi kitambi hakijaisha bado?
 
Back
Top Bottom