makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,707
- 109,243
Shukrani kaka, nipe namba tutawasilianaMiaka 21, yupo mkoa wa ruvuma lakini kazi amefanyia dar miaka 2 nyumba moja, ukihitaji na picha yake ipo
Shukrani kaka, nipe namba tutawasilianaMiaka 21, yupo mkoa wa ruvuma lakini kazi amefanyia dar miaka 2 nyumba moja, ukihitaji na picha yake ipo
Mkuu ukiona vigezo havijitoshelezi nipasie Mimi hukuShukrani kaka, nipe namba tutawasiliana
Poa mkuu, kuna mmoja juu anasema ana wawili.Mkuu ukiona vigezo havijitoshelezi nipasie Mimi huku
Mdada kashazingua, ila wadada jamani tukiwa na watoto wadogo wanatutesa mno, akianza kuzoea mtu unarelax ndio anaaga Sasa
Wadada wapo tatizo watu hawapo serious, mtu anapigiwa simu hapokeiMkuu ukiona vigezo havijitoshelezi nipasie Mimi huku
Mdada kashazingua, ila wadada jamani tukiwa na watoto wadogo wanatutesa mno, akianza kuzoea mtu unarelax ndio anaaga Sasa
Nakupm namba yangu mkuuWadada wapo tatizo watu hawapo serious, mtu anapigiwa simu hapokei
unaiona 80k ni ndogo kwa House Girl?Mkuu nipike chapati na veg rice kwa 80000?? Hapo bado kufua na kudeki jamani kuwa fair kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka mfanyakazi kwa ajili ya kulea mtoto muajiri na umlipe kwa kazi hiyo TU.Nami nahitaji mfanyakazi, japo naogopa ogopa sababu anahitajik kwa ajili ya kulea mtoto mchanga.
Mitandaoni nikiona kesi za wasaidizi kwa watoto nabaki njia panda.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kama rahisi fanya mwenyewe.
Mm nakupa ushauri kwa kuwa unahitaji kwa haraka.
Nalijua hili, shida tunaishi kwa vipato vyetu vya kuunga unga.Ukitaka mfanyakazi kwa ajili ya kulea mtoto muajiri na umlipe kwa kazi hiyo TU.
Yani mlete home kazi yake ni kumlea huyo mtoto,kufua nguo zake kumlisha,nk (kazi za mtoto tu)
kazi zingine tafuta Mdada mwingine wa kuzifanya,yani nyumba iwe na house girl wawili.
Huyu wa mtoto majukumu yake ni kuangalia afya ya mtoto na kuhakikisha mtoto ana develop na kukua ktk afya bora, (bonus iwepo)
ukifanya hivyo Mtoto wako atakua SALAMA.
ILA ukiajiri house girl afanye kazi za home na kulea mtoto, Utanikumbuka siku 1.
Kulea mtoto ni kazi inayojitegemea,mtu alipwe kwa kazi hiyo TU.
Jamaa hajasema kama kaoa au ni singo faza?Pole sana.
Kazi za kufanya mke wako anatakiwa afanye dada wakazi.
Hakuna mahusiano wala ndoa hapo.
Mimi nina mabinti wawili wa kisambaa mmoja miaka 17 mwingine miaka 15. Infact nilikuwa natafuta mmoja ila kwenye purukushani za kutafuta nikajikuta wamepatikana wawili na kwa nature ya watu walionitafutia nikaona aibu kuwakatisha tamaa ikabidi niwachukue wote wawili. Kwa kuwa mkeo anaumwa ngoja nikusogezee huyu wa miaka 17 ni pisi kali hatari sana hapa mke wangu ananilinda vbaya sijui amenishtukia nini yaani