cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,940
- 204,009
Ooooh labda hapo sawaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu nao majugu mengi baadae afadhali utafute mtu ambae utamlimpa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh labda hapo sawaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu nao majugu mengi baadae afadhali utafute mtu ambae utamlimpa
Utasikia huyu tulimsaidia wakati mke wake anaumwa sasa ya nini hayoOoooh labda hapo sawaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye yeye mwenyewe au sio?Kama rahisi fanya mwenyewe.
Mm nakupa ushauri kwa kuwa unahitaji kwa haraka.
Package anyoitaka bwana muajiri kwa dau hilo ni ngumu mnoo kupata mtu mosi, pili, kumpata dada wa kazi mwenye package hiyo sio kama haiwezekani, ni ngumu mnoo.Mkuu nipike chapati na veg rice kwa 80000?? Hapo bado kufua na kudeki jamani kuwa fair kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni kweli pia.Utasikia huyu tulimsaidia wakati mke wake anaumwa sasa ya nini hayo
Yani kuna comments unakutana nazo, mpaka unajiuliza hawa wenzangu wanatumia kiungo gani kufikiri?JF ina watu wengi wenye stress za maisha na matatizo ya afya ya akili...
Tangazo limewekwa wazi kabisa, sasa soma comments za watoroka dozi Mirembe...
Yupo ila hatak kukaa mbal na mama yake anaishi ArushaHabai,
Natafuta dada wa kazi pande za Dar es Salam awe na sifa zifuatazo
1: Anajua kupika common food chapati,maandazi wali mboga,pilau vyengine atajifunza
2: Awe anajua usafi kufua ,kusafisha nyumba,kupanga nyumba
3: Umri kuanzia 18-25
4: Awe anaweza kuchunga mipka ya nyumba
5: Anatakiwa kulala hapahapa
Mshahara 80K
Kwa maelezo zaidi wasiliana
0747848885
Yupo dada mwenye uzoefu , yupo mkoa ukihitaji atakuja dar kwa nauli yakeNami nahitaji mfanyakazi, japo naogopa ogopa sababu anahitajik kwa ajili ya kulea mtoto mchanga.
Mitandaoni nikiona kesi za wasaidizi kwa watoto nabaki njia panda.
Ana umri gani, yupo mkoa gani?Yupo dada mwenye uzoefu , yupo mkoa ukihitaji atakuja dar kwa nauli yake
Miaka 21, yupo mkoa wa ruvuma lakini kazi amefanyia dar miaka 2 nyumba moja, ukihitaji na picha yake ipoAna umri gani, yupo mkoa gani?