Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,332
- 5,762
oh sawaMbez ya kimara
si umesema unataka veg rice, wali ule wa mboga mboga ambao tunaukutaga kwenye sherehe za kishua au??Kivipi?
oh sawaMbez ya kimara
si umesema unataka veg rice, wali ule wa mboga mboga ambao tunaukutaga kwenye sherehe za kishua au??Kivipi?
Ndugu wa mkeo wako wapi? Ndugu zako wee wako wapi?Mke wangu anaumwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa ila watu. LolKama rahisi fanya mwenyewe.
Mm nakupa ushauri kwa kuwa unahitaji kwa haraka.
Mimi nimemwambia nipo tayali hila mshahara 300000 hapo sawa mpka miguu ya mkewe namfanyia masaji
Hii kazi ina masharti mengii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kazi ina masharti mengii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Habar natafuta dada wa kazi pande za darressalam
Mshahara 80K
Kwa maelezo zaid wasiliana
0747848885
Naomba nibadilishe post nlieka kigezo cha kupika watu wamefika mbali sana even it disgusting
Ambae anamfahamu mtu yeyte basi he can contact through idont like negative comment kwani nyi mnakulaga nini
Kama rahisi fanya mwenyewe.
Mm nakupa ushauri kwa kuwa unahitaji kwa haraka.
Haina ulazima kukejeli, wapo ma housegirl wanalipwa 50k kwa mwezi na wanapiga kazuNdugu wa mkeo wako wapi? Ndugu zako wee wako wapi?
Sema unataka urahisi wa uteleziii mxxxxieeeeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipike chapati na veg rice kwa 80000?? Hapo bado kufua na kudeki jamani kuwa fair kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanikiwaga ila happy kwenye hivyo vyakula ndo hatari kumpata huyo atakae weza vyote
Mkuu nipike chapati na veg rice kwa 80000?? Hapo bado kufua na kudeki jamani kuwa fair kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina ulazima kukejeli, wapo ma housegirl wanalipwa 50k kwa mwezi na wanapiga kazu
Unakwazwa kuambiwa ukweli?? Basi andika hapo juu kwenye uzi kwamba most of kazi anatumia machine. Tatizo umeandika majukumu/ demand nyingi sana ndio maana unaona wengi wapo opposite na wewe.Afu respect others thought bro most of the works anatumia machines wtf mnakwaza
Mmmmmh uongoooo.Haina ulazima kukejeli, wapo ma housegirl wanalipwa 50k kwa mwezi na wanapiga kazu
Ndugu nao majugu mengi baadae afadhali utafute mtu ambae utamlimpaNdugu wa mkeo wako wapi? Ndugu zako wee wako wapi?
Sema unataka urahisi wa uteleziii mxxxxieeeeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app