Nahitaji dada wa kazi urgent

munally14

Member
Mar 5, 2020
81
83
Habai,

Natafuta dada wa kazi pande za Dar es Salam awe na sifa zifuatazo
1: Anajua kupika common food chapati,maandazi wali mboga,pilau vyengine atajifunza
2: Awe anajua usafi kufua ,kusafisha nyumba,kupanga nyumba
3: Umri kuanzia 18-25
4: Awe anaweza kuchunga mipka ya nyumba
5: Anatakiwa kulala hapahapa
Mshahara 80K
Kwa maelezo zaidi wasiliana
0747848885
 
Back
Top Bottom