Nahitaji chakula cha mbwa

Nahitaji chakula cha mbwa

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Kwa wafugaji wenzangu wa mbwa, kama una supplier wa mchanganyiko mzuri wa chakula cha mbwa tafadhali nisaidie contacts zake.

Kama wewe binafsi ni mtengenezaji naomba uni-PM hapa nijue kwa kifupi mchanganyiko wako umejumuisha nini na namna gani naweza kupata huduma zako. Je, una-supply wewe mwenyewe? Kama unayo huduma hii itakuwa vema zaidi.

Asanteni

Asante
 
tuma pm na namba yako ili nikuunganishe na supplier...kama uko arusha lakini...kwa Dar sijui wanauza wapi mkuu
 
Unaongelea mchanganyiko kama ule wa pet food? Unaouzwa kwa viroba supermarket?
 
Unaongelea mchanganyiko kama ule wa pet food? Unaouzwa kwa viroba supermarket?

Ndiyo mkuu!

Lakini nataka nibadilishe chakula, nimekuwa nikiwapa mbwa Super Dog kwa muda sasa, naona kama wameichoka I need to change. Any idea?
 
Mimi huwa nanunua dagaa wa kusaga kilo 2 naweka kwenye unga kilo 5
 
mabaki ya ugali na mchuzi wa nyama vinawatosha
 
Back
Top Bottom