Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Hata hilo neno alololeta limeleta majibu yanayompinga kutoka google translate.
سحر الفضة على الذهب
Hata kama itafsirike.,

Ficha(kuficha) pesa katika dhahabu

Hii sio dalili ya kuwa upo uchawi mzuri,hapo itaonyesha tu neno sihr linavotumika kilugha.
Lakini kisheria katika Qur'ani imetumika kama neno uchawi.
 
Yaaani ni hivi.

Mfano mtu awe hataki kujihusisha na siasa kwa maana asiende kupiga kura kwa mgombea yeyote,yaani yeye akishapita kiongoz yeyote ndio wake.
Akawa hana uhudhuriaji wa kwenye kampeni yeye yuko na mambo yake.
Hana habari za siasa kabisaa hana chamaaa.

Jee mtu kuishi hivi inaweza kumletea madhara katika maisha yake ya kawaida?
Ninakaribia 40 now sijawahi panga foleni kapiga kura lakini mpaka sasa hayo mambo ya vuma vimekaza nayasukia tu kwa watu. Yuko sahihi INAWEZEKENA
 
هذا بهتان عظيم

Kabla hatujaendelea niulize kwanza

Bwana mokaze unaweza kutuonyesha sehemu katika Qurani palipotumia nebo sihr kwa maana ingine nzuri ambayo sio maana ile ya uchawi?Mafundisho ya waislamu tunatoa vyanzo katika Qurani sasa hyo Qurani imefasiri neno sihr kwa maana gani?

Jibu swali usianze mizunguko ya kudai watu wamekuelewa..

Wewe vipi, unauliza swali halafu unatengeneza namna unavyotaka ujibiwe!!!, acha mwalimu mwenyewe akujibu jinsi yeye anavyoweza na anavyojua.

Neno "sihr" maana yake ya msingi ni "hali ya kuficha muonekano halisi wa kitu na kikaonekana kinyume au tofauti machoni kwa watazamaji kwa kuyahadaa macho ya watazamaji" na ni kutokana na maana hiyo ndipo "sihr" inaweza kuitwa UONGO, UDANGANYIFU nk.

Kwa suala la wachawi wa Musa (as), wao walitumia elimu yao kutengeneza Sihr iliyohadaa macho ya watazamaji akiwemo na Musa (as) na wakaona kamba za wale wachawi zimekuwa "kama" nyoka.

👆🏻Hayo ndiyo matumizi mabaya ya "Sihr" kwa sababu yameandaliwa kupinga haki, na katika sehemu kadhaa ambapo uongo wa aina hiyo ulipoganyika Qur'an imeuita "Sihr", na mimi sipingi Qur'an hata kidogo.

Mimi ninahoji hivi; kama ametokea muhalifu na ukatumia elimu ya sihr kama walivyotumia wale wachawi wa Musa kujitetea, mfano ukafanya ng'ombe aonekane kama Simba machoni kwa wahalifu na wakakimbia, je matumizi hayo ya "sihr" kwa njia hiyo yamekatazwa wapi??!!.

Nillikutolea mfano na wala hujaugusa; kusema uongo ni dhambi, lakini kama utasema uongo kwa kujilinda na mauaji ya "WAHALIFU" kuna dhambi hapo??

👆🏻Panua akili yako ewe Gentleman, هذا حقيقة مبين
 
سحر الفضة على الذهب
Hata kama itafsirike.,

Ficha(kuficha) pesa katika dhahabu

Hii sio dalili ya kuwa upo uchawi mzuri,hapo itaonyesha tu neno sihr linavotumika kilugha.
Lakini kisheria katika Qur'ani imetumika kama neno uchawi.

Neno UCHAWI ni neno la kiswahili, hata yule anayechukua misukule,anaye wanga, anayeruka na ungo anayeloga ili watu wafe nk, hawa wote kwa kiswahili wanaitwa "wachawi", neno "Sihr" ni specific kwa matendo ya kudanganya, kuongopa, kuficha ukweli,kuhadaa, kuloga "macho" ili mtu aone sivyo ndivyo nk, katika Qur'an limetumika kuficha HAKI.
 
سحر الفضة على الذهب
Hata kama itafsirike.,

Ficha(kuficha) pesa katika dhahabu

Hii sio dalili ya kuwa upo uchawi mzuri,hapo itaonyesha tu neno sihr linavotumika kilugha.
Lakini kisheria katika Qur'ani imetumika kama neno uchawi.

Hiyo ndiyo shida ya kutumia "translator" , translator inatafsiri maneno katika "Raw sense" huwezi pata "essence" ya maneno.

Hapo maana yake ni, madini ya fedha kuzungushiwa dhahabu, mfano pete ya fedha inawekewa juu yake nakshi ya dhahabu na pete yote inaonekana kama dhahabu, katika hiyo "phenomenon" neno "sihr" limetumika "in literal sanse".
 
Wewe vipi, unauliza swali halafu unatengeneza namna unavyotaka ujibiwe!!!, acha mwalimu mwenyewe akujibu jinsi yeye anavyoweza na anavyojua.

Neno "sihr" maana yake ya msingi ni "hali ya kuficha muonekano halisi wa kitu na kikaonekana kinyume au tofauti machoni kwa watazamaji kwa kuyahadaa macho ya watazamaji" na ni kutokana na maana hiyo ndipo "sihr" inaweza kuitwa UONGO, UDANGANYIFU nk.

Kwa suala la wachawi wa Musa (as), wao walitumia elimu yao kutengeneza Sihr iliyohadaa macho ya watazamaji akiwemo na Musa (as) na wakaona kamba za wale wachawi zimekuwa "kama" nyoka.

👆🏻Hayo ndiyo matumizi mabaya ya "Sihr" kwa sababu yameandaliwa kupinga haki, na katika sehemu kadhaa ambapo uongo wa aina hiyo ulipoganyika Qur'an imeuita "Sihr", na mimi sipingi Qur'an hata kidogo.

Mimi ninahoji hivi; kama ametokea muhalifu na ukatumia elimu ya sihr kama walivyotumia wale wachawi wa Musa kujitetea, mfano ukafanya ng'ombe aonekane kama Simba machoni kwa wahalifu na wakakimbia, je matumizi hayo ya "sihr" kwa njia hiyo yamekatazwa wapi??!!.

Nillikutolea mfano na wala hujaugusa; kusema uongo ni dhambi, lakini kama utasema uongo kwa kujilinda na mauaji ya "WAHALIFU" kuna dhambi hapo??

👆🏻Panua akili yako ewe Gentleman, هذا حقيقة مبين
Hapo utakuwa tayari umefanya uchawi, fikiri sasa ku "attain" huo uchawi ulifanyaje? Kwa sababu tunafundishwa kutoka kwenye Qur'an 2:102 kuwa kufanya uchawi ni kukufuru.

Pia tunafundishwa katika Qur'an 20:69 kuwa "...mchawi hafanikiwi popote...".

Kwa aya hizo bado tu unaamini kuna " uchawi" mzuri au wa mafanikio?

Labda mwenzetu unashiriki kufanya uchawi au unadanganywa na wachawi kuwa kuna uchawi mzuri? Maana haiwezekani ukatetea kitu ambacho Allah amesema ni kukufuru, wazi kabisa katika Qur'an 2:102

Kama nilivyokwambia juu huko, kuna ilm ambazo labda kwa kuwa tu huzifahamu basi wewe unafikiri ni uchawi. Rudi kasome kisa cha Suleiman, kisa cha Khidhr pia nakuongezea kwa kukutaka usome kuhusu "ilm ruh", soma kuhusu "ilm qist (kisht)" pia usome "ilm asami" hii itakufundisha majina ya vitu na labda utapata jina la hayo yako nje ya neno "sihr".

Sihr haijawahi kuwa njema.
 
Auntie Faiza, ninakuomba nukuu ayo zote hizo "in full" ili kila mtu aweze kusoma na kuelewa muktadha nami niweze kukufahamisha kile ambacho hukijui, kimsingi mimi aslan sipingi maana za maneno ya Qur'an isipokuwa "interpretation" hapo ndipo tatizo linapokuja.

Anza na 2:102, halafu 20:69, ili tupate "MUKTADHA" mzima wa kila aya.

Usiwe kama wale wanao nukuu kipande cha aya kile kinachosema "ole wao wale wanaoswali-----" halafu hawamalizii, je hapo utaelewa nini??.
 
Bado tu hujaelewa? Hizi hapa...

2:102. Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua. 102

20:69. Na kitupe kilicho katika mkono wako wa kulia; kitavimeza walivyo viunda. Hakika walivyo unda ni hila za mchawi tu, na mchawi hafanikiwi popote afikapo. 69
 
Bado tu hujaelewa? Hizi hapa...

102. Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua. 102

69. Na kitupe kilicho katika mkono wako wa kulia; kitavimeza walivyo viunda. Hakika walivyo unda ni hila za mchawi tu, na mchawi hafanikiwi popote afikapo. 69

Haya,tafadhali hebu "nifundishe" jinsi ulivyoilewa aya moja baada ya nyingine.(aya nzima).
 
Haya,tafadhali hebu "nifundishe" jinsi ulivyoilewa aya moja baada ya nyingine.(aya nzima).
Somo ni sihr, usihamishe magoli.

Hakuna sihr njema katika ayat zote hizo.

Ndugu yangu katika Uislam, (kama sijakosea natumai u Muislam). Hakuna utata kuwa sihr haina jema.

Mas'ala ya Kiislam huenda kwa dalil na siyo kwa fikra zetu.
 
Question
Is sihr (magic, witchcraft) real? Does it have any effect? What are its types?

Sihr and its types
9432
Publication : 05-11-2000
Views : 77888
EN
Question
Is sihr (magic, witchcraft) real? Does it have any effect? What are its types?
Answer
Praise be to Allaah.
Praise be to Allaah and blessings and peace be upon the Messenger of Allaah, and his family and companions and those who follow his guidance.
Sihr is a serious crime and is one of the kinds of kufr. It is one of things with which people have been tested, in the past and currently, among the nations of the past, during the Jaahiliyyah and in this ummah. The more ignorance increases, the less there is knowledge and awareness of faith, the less attention the authorities pay to this matter – the more the practitioners of sihr and trickery increase and spread in the land, to take the people’s wealth and confuse them and do other things. When knowledge prevails and faith increases, and the Islamic authorities are powerful, the number of these evil people shrinks and they move from one land to another, seeking a place where their falsehood will be accepted and they will be able to engage in their trickery and corruption.
The Qur’aan and Sunnah have described the kinds of sihr and the rulings on these matters.
Sihr is so called because its means are hidden or secret, and because the practitioners of sihr deal with things in secret which enable them to perform illusions to confuse the people and deceive their eyes, and to cause them harm or steal their money, etc., in a secretive manner so that in most cases nobody realizes what is happening. Hence the last part of the night is called sahar, because at the end of the night people are unaware and they do not move about much. And the lungs are also called sahr, because they are hidden inside the body.
According to sharee’ah, the meaning of sihr is what the magicians do to delude and confuse people, so that the one who is watching thinks that it is real when in fact it is not. As Allaah said concerning the magicians of Pharaoh (interpretation of the meaning):
“They said: ‘O Moosa! Either you throw first or we be the first to throw?’
Moosa said: ‘Nay, throw you (first)!’ Then behold! their ropes and their sticks, by their magic, appeared to him as though they moved fast.
So Moosa conceived fear in himself.
We (Allaah) said: ‘Fear not! Surely, you will have the upper hand.
And throw that which is in your right hand! It will swallow up that which they have made. That which they have made is only a magician’s trick, and the magician will never be successful, to whatever amount (of skill) he may attain.’”
[Ta-Ha 20:65-69]

Sihr may involve things that the magician does when tying knots on which he blows, as is referred to in the Qur’aan (interpretation of the meaning):

“And from the evil of those who practise witchcraft when they blow in the knots”[al-Falaq 113:4]

And it may involve other things which they manage to do through the shayaateen (devils), so they do things that may affect a man's reason or make him sick; they may cause division between a man and his wife, resulting in her looking ugly to him, or by making her hate her husband or be put off by him. This is blatant kufr as the Qur’aan states. Allaah says (interpretation of the meaning):

“They followed what the Shayaateen (devils) gave out (falsely of the magic) in the lifetime of Sulaymaan (Solomon). Sulaymaan did not disbelieve, but the Shayaateen (devils) disbelieved, teaching men magic”

[al-Baqarah 2:102]

Allaah informs us that they (the shayaateen) committed kufr by teaching men magic. Then He says (interpretation of the meaning):

“and such things that came down at Babylon to the two angels, Haaroot and Maaroot, but neither of these two (angels) taught anyone (such things) till they had said, ‘We are for trial, so disbelieve not (by learning this magic from us).’”[al-Baqarah 2:102]

Soma zaidi: Sihr and its types - Islam Question & Answer
 
Unamaanisha picha ya avatar? Hapana siyo mimi, huyo ni Lisa Valentine, mama shupavu aliyekubali kwenda jela kuliko kuvuliwa hijab yake.

Isome zaidi: Georgia judge jails Muslim woman for wearing headscarf to court
The way nmekujengea image kichwani yani
1: kama una kaa ubungo Maji kule
2: mama flani miaka si chini ya 50
3: kama unavaa miwani
4: unagari aina ya Rava 4 black
5:Mstaafu wa serikalini

Yani nikionaga comment yako tu image hii inakuja kichwani
 
Hapana. Huyo si mimi. Mimi naishi Mkuranga. Sijawahi kufanya kazi serikalini. Nimewahi kufanya "contracts" na idara za serikali mara mbili tatu hususan kwenye masuala ya telecommunications tena ni zamani sana.
 
1. Unasema Kuna uchawi mzuri swali
Uchawi mzuri huo unaodai ni kwa mujibu wa Qurani? Kama jibu ndio

iko wapi dalili ya kuthibitisha madai hayo?

Au huo uchawi mzuri unaodai ni kwa mujibu wa fikra zako lakini kwenye Qurani hamna?

Nataka ujibu swali kama ulivoulizwa sio unakwepa kwepa.wewe ni kukugonga maswali kama hivi tu tukitia maneno mengi unapoteza mada unaenda kwingine

Sasa jibu hayo maswali kwanza

Hiyo ndiyo shida ya kutumia "translator" , translator inatafsiri maneno katika "Raw sense" huwezi pata "essence" ya maneno.

Hapo maana yake ni, madini ya fedha kuzungushiwa dhahabu, mfano pete ya fedha inawekewa juu yake nakshi ya dhahabu na pete yote inaonekana kama dhahabu, katika hiyo "phenomenon" neno "sihr" limetumika "in literal sanse".
 
Mkuranga sehemu gani?

Huwa nafika hapo sana kuna mama yangu yuwafanya biashara hapo maeneo ya mtipesa

Back
Top Bottom