Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Na Wewe wapi imeandikwa sihr ni haramu ??!!,

Ni suala la "common sense", kwamba kile kitu ambacho hakijatajwa kwamba ni haramu au halali basi ni matumizi yake ndiyo yata determine uharamu wake au uhalali wake, yaani ni matumizi katia kipindi hicho ndiyo yanafanya kionekane "haramu" au "halali", zingatia sihr kimsingi ni "art" ya kufanya kitu kionekane "sivyo ndivyo" na art hiyo watu wanazaliwa nayo au wanajifunza mfano wacheza MAZINGAOMBWE.
Hii aya imeeleza wazi kabisa kwamba hao walikuwa wanawaambia watu SISI NI MTIHANI,MSIKUFURU kwa maana msijifunze uchawi ambao ni ukafiri.

واتبعوا ما تتلو الشياطين على ملك سليمان وما كفر سليمان ولكن الشياطين كفروا يعلمون الناس السحر وما أنزل على الملكين ببابل هاروت وماروت وما يعلمان من أحد حتى يقولا إنما نحن فتنة فلا تكفر فيتعلمون منهما ما يفرقون به بين المرء وزوجه وما هم بضارين به من أحد إلا بإذن الله ويتعلمون ما يضرهم ولا ينفعهم ولقد علموا لمن اشتراه ما له في الآخرة من خلاق ولبئس ما شروا به أنفسهم لو كانوا يعلمون

[ AL - BAQARA - 102 ]
Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua.

Haya tuonyeshe kwenye Qurani namna ambavyo uchawi umetumika vizurii wapi???
 
Hiyo aya alikwisha toa Faiza,nikamtaka aitolee maelezo na hakutoa, mimi nikaitolea maelezo, kwamba hao mashetani waliwafunza watu "sihr" ili Nabii suleiman aonekane kakufuru lakini Allah anasema Nabii wake hakukufu bali hao mashetani ndio waliokufu kwa sababu ya kuwsfundisha watu "sihr" ya kupinga HAKI/UKWELI aliokuja nao Nabii Suleiman.

"Sihr" kimsingi, masna yake ni kukifanya kitu au jambo lionekane sivyo ndivyo na kama ikitumika kupinga haki pia litanaweza kuitwa UONGO/UDANGANYIFU. Na hapo mwisho Allah akasema wachawi wa aina hiyo hawatafanikiwa.

Ndiyo maana nikataka usome muktadha wa aya zote (ya Nabii Suleiman na Musa as), ambazo kiujumla zinazungumzia muktadha unaofanana. Kwa upande wa Nabii Musa (as) wale "wachawi" waliyaloga macho ya watazamaji na wakaziona kamba za wachawi kama nyoka KWA LENGO YA KUMKADHIBISHA nabii Musa ili aonekane ni mchawi kama wao ukizingatia moja ya ishara alizopewa na Allah ilikuwa ni kuitupa chini fimbo yake ikawa kama nyoka, sasa Firauni akatafuta hao wachawi ili wafanye kile alichofanya Musa as, kwa NIA
ya kupinga HAKI ndipo wachawi wakashindwa kama jinsi Allah alivyosema katika (2:102), kwamba wachawi (WA kupinga haki) popote hawatafaulu.

Hayo yote ni kama marudio tu, ndiyo maana nikasema, tukubaliane kutokukubaliana.
 
Wewe ukiamua hivyo sawa ila mbona mambo yako wazi.

Yeyote anayehalalisha uchawi kwamba upo mzuri na upo m,baya huyo anakuwa amezungumza kufru.

Wewe umetakiwa ulete ushahidi wa Qurani wapi kuna uchawi wenye manufaa kwa sababu uchawi ulioelezwa kwenye Qurani wote ni mbaya na ni kufru.

Wewe unaleta nyongeza zako chafu chafu ambazo hazina mashiko ndani ya Qurani.

Au kuna aya ndani ya Qurani imethibitisha kuwepo kwa uchawi mzuri wenye manufaa tukiacha porojo zako?
 
Usomaji wa aya za Qur'an unahitaji tafakur na ndiyo kazi ya akili alizotujalia Allah na siyo kukariri tu.

Mfano tunasoma katika Quran, na hasa mwishoni mwa aya fulani fulani, Allah akisema;-
إن الله على كل شيء قادرt

Yaani, hakika Allah ni mweza wa kila kitu, sasa mimi nikuulize je Allah anaweza kila kitu, kivipi??, hapa nataka kupima uelewa wako kwa sababu kuna vitu vingine Allah haviwezi,😁😁😁, Upo!!?
 
Usomaji wa aya za Qur'an unahitaji tafakur na ndiyo kazi ya akili alizotujalia Allah na siyo kukariri tu.

Mfano tunasoma katika Quran, na hasa mwishoni mwa aya fulani fulani, Allah akisema;-
إن الله على كل شيء قادرt

Yaani, hakika Allah ni mweza wa kila kitu, sasa mimi nikuulize je Allah anaweza kila kitu, kivipi??, hapa nataka kupima uelewa wako kwa sababu kuna vitu vingine Allah haviwezi,, Upo!!?
Jibu swali langu usilete porojo zako za kufru hapa za kina zakir naik.

Hiyo unayoleta ni mada nyingine isofungamana na uchawi.liishe hili kwanza

Jibu swali,Kwenye Qurani kuna sehemu pametajwa uchawi kwa uzuri wake?
 
Ungeomba akili kwanza ili zikusaidie utafute sasa busara za kuomba. Wewe hata akili huna unatafuta busara kwa kutumia moja ya ID zako ili ID moja ionekane ina busara... Hii michezo ya kitoto sana. Panga la shaba weeeee.
 
Huo ndiyo ubaya wa kukariri, unapoambiwa kuwa Allah kuna vitu vingine HAWEZI, unasema kufuru kama jinsi unavyosema kufur unapoambiwa kuwa "sihr" inaweza kutumiwa kwa manufaa, "Sihr" ni elimu ambayo watu wanazaliwa nayo au wengine wanajifunza, ni Elimu ya kufanya kitu,jambo au hali ionekane sivyo ndivyo machoni pa watu , kama elimu hiyo itatumika kupinga haki hapo itaitwa uingo/udanganyifu kama jinsi ilivyotokea kwa manabii Suleiman na Musa (as).

Mfano, kama mtu mwenye elimu ya "sihr" akamfanya punda wake aonekane kama SIMBA mbele ya majambazi, na majambazi wakasepa kwa hofu--- je matumizi ya sihr katika kutetea usalama wako katika njia hiyo ni dhambi?? Je hapo utakuwa umemdhulumu nani??.

Pull up your stockings, usikariri Qur'an, afalaa yatabadharun al qur'an???
 
Ukimgeuza akawa simba NDIO NI DHAMI kwa sababu umejidhulumu nafsi yako kutumia kitu ambacho(uchawi) ni kufru.

Kwani mtu anapokopa mkopo wa benki kwa ridhaa yake tu akakubali kuongezewa pesa katika deni anakuwa amemdhulumu nani kama sio nafsi yake?

Swali liko pale pale,Qurani imetaja wazi kwamba uchawi ni haramu na ni kufru,kwa maana imeutaja uchawi kams ni kitu kibaya.

Aya imeeleza hivyo
Wale malaika walikuwa wakiwafundisha watu uchawi,kisha hao watu wanaenda kuutumia wanavyojua wao,lakini kabla ya kuwafunza watu uchawi huo walikuwa wakiwaambia msikufuru.

Kwa maana kule kujifunza tu ni kufru mbali na kuutumia,kule kujifunza tu ni kufru hapo bado hujaanza kuutumia.

Sasa aya gani ndani ya Qurani imeitaja sihri kwambs ni jsmbo zuri ili tukusanye kwamba kumbe Qurani imetaja sehemu uchawi mzuri na sehemu uchawi mbaya.wapi?
Huo ndiyo ubaya wa kukariri, unapoambiwa kuwa Allah kuna vitu vingine HAWEZI, unasema kufuru kama jinsi unavyosema kufur unapoambiwa kuwa "sihr" inaweza kutumiwa kwa manufaa, "Sihr" ni elimu ambayo watu wanazaliwa nayo au wengine wanajifunza, ni Elimu ya kufanya kitu,jambo au hali ionekane sivyo ndivyo machoni pa watu , kama elimu hiyo itatumika kupinga haki hapo itaitwa uingo/udanganyifu kama jinsi ilivyotokea kwa manabii Suleiman na Musa (as).

Mfano, kama mtu mwenye elimu ya "sihr" akamfanya punda wake aonekane kama SIMBA mbele ya majambazi, na majambazi wakasepa kwa hofu--- je matumizi ya sihr katika kutetea usalama wako katika njia hiyo ni dhambi?? Je hapo utakuwa umemdhulumu nani??.

Pull up your stockings, usikariri Qur'an, afalaa yatabadharun al qur'an???
 
We jamaa ni mpumbavu sana.

Kwa hiyo mimi ni mshana jr au faizafoxy?
Ungeomba akili kwanza ili zikusaidie utafute sasa busara za kuomba. Wewe hata akili huna unatafuta busara kwa kutumia moja ya ID zako ili ID moja ionekane ina busara... Hii michezo ya kitoto sana. Panga la shaba weeeee.
 
Mbona hii ID tunaifahamu ni moja ya IDs zako? Sisi wenye akili tunafahamu sana sema tunanyamaza. Fala wewe unataka kutafuta ujiko wa kidwanzi tu kama shogah... Sasa unafanya hivyo ili iweje?

We jamaa ni mpumbavu sana.

Kwa hiyo mimi ni mshana jr au faizafoxy?
 
Mbona hii ID tunaifahamu ni moja ya IDs zako? Sisi wenye akili tunafahamu sana sema tunanyamaza. Fala wewe unataka kutafuta ujiko wa kidwanzi tu kama shogah... Sasa unafanya hivyo ili iweje?
Wewe huna akili mkuu.

Endelea kuropokwa hapooo mkuu.

Kuna wajinga wenye chembe za akili.
Na kuna wenye akili wenye chembe za ujinga.

Wewe ni mjinga ambaye chembe zako za akili ndo zimekusaidia kukomenti hapa.

Kwaheri mkuu.
 
Yaani huu mwandiko ndo kabisa unadhihilisha nlichokuwa nasema... Leo umebambwa 🤣🤣🤣

Back
Top Bottom