Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,955
Ulamaa gani alosema kuna uchawi mzuri?
Hata ukisema pombe tukitumia vizuri inafaa tukuache tu kwa kutumia mlango wa ikhtilaafu sio?
Wewe hujafikia darja ya kutetea mlango wa ikhtilaafu kwa sababu hujafikia darja ya kuwa Aalim hata robo,sasa unapozungumza lazima uwe na dalili hapa.
Hao ulamaa wenyewe wakitofautiana zinaangaliwa dalili zikoje kisha anafatwa mwenye dalili.
Wewe jambo ulilodai na kulitetea ni jambo la KUFRU kabisa eti kuna uchawi mzuriwakati Qurani inaeleza wazi kwamba uchawi ni ukafiri wa wazi.
Wewe unasema upo uchawi mzuri?
Wapi Qurani imesema kuna uchawi mzuri?
Wewe unataka kila kitu kiandikwe katika Qur'an!! sasa ni Wapi katika Qur'an imesemwa kwamba ukiikanyaga kwa mguu ni dhambi??, ingawa sote tunajua kufanya hivyo ni dhambi.Ni suala la kutumia akili na hiyo ndiyo kazi ya akili na siyo "cramming"
Maana yangu ni kwamba tumia akili kutafakari aya za Qur'ani siyo kusoma tu kama kasuku.
Ninaposema maulamaa wanatofautiana sikuwa na maana katika "Sihr' (kufanya kitu kionekane sivyo ndivyo ama kwa ubaya au wema), baliv katika masuala kadhaa ya kiimani.