Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Jirani na Malila?
Au kule bondeni?

Napapenda sana Shungubweni
M.Mungu akijaalia nitatafuta makazi huko
Simfahamu. Nilipo si mbali na kwa marehem " born city", maarufu kwa mkanada. Kulikuwa na camp ya wakanada wanafanya tafiti za mafuta na gas lakini wameondoka siku nyingi (in fact walikodisha kwetu kufanya camp yao).

Shungubweni ni pazuri sana.
 
Hapana. Huyo si mimi. Mimi naishi Mkuranga. Sijawahi kufanya kazi serikalini. Nimewahi kufanya "contracts" na idara za serikali mara mbili tatu hususan kwenye masuala ya telecommunications tena ni zamani sana.
Sawa mama msalimie mzee
 
1. Unasema Kuna uchawi mzuri swali
Uchawi mzuri huo unaodai ni kwa mujibu wa Qurani? Kama jibu ndio

iko wapi dalili ya kuthibitisha madai hayo?

Au huo uchawi mzuri unaodai ni kwa mujibu wa fikra zako lakini kwenye Qurani hamna?

Nataka ujibu swali kama ulivoulizwa sio unakwepa kwepa.wewe ni kukugonga maswali kama hivi tu tukitia maneno mengi unapoteza mada unaenda kwingine

Sasa jibu hayo maswali kwanza

Wewe unanigonga maswali yako, mbona mimi nilishakugonga maswali yangu na hutaki kujibu!!😁😁😁, jibu kwanza maswali yangu ndipo mimi nitajibu yako.
 
Simfahamu. Nilipo si mbali na kwa marehem " born city", maarufu kwa mkanada. Kulikuwa na camp ya wakanada wanafanya tafiti za mafuta na gas lakini wameondoka siku nyingi (in fact walikodisha kwetu kufanya camp yao).

Shungubweni ni pazuri sana.

Ooh sawa.
 
Somo ni sihr, usihamishe magoli.

Hakuna sihr njema katika ayat zote hizo.

Ndugu yangu katika Uislam, (kama sijakosea natumai u Muislam). Hakuna utata kuwa sihr haina jema.

Mas'ala ya Kiislam huenda kwa dalil na siyo kwa fikra zetu.

Qur'ani ni kitabu kitakatifu na kinatakiwa kiheshimiwe lakini unapoisoma lazima utumie akili;- inasema "afalaa taa'kiluun??"

"Sihr" iliyozungumzwa katika Qur'an ni udanganyifu,uongo nk, wa kupinga haki, haki walizokuja nazo manabii kutoka kwa Mungu mfano nabii Suleiman na Musa (as), na Mungu anasema "saahir" wa namna hiyo atoke popote hawezi kufaulu kupingana na mitume wake.

Mimi siongelei "saahir" anayepinga haki nazungumzia "saahir" yule anayeweza kuleta "sihir" yenye manufaa kwa sababu elimu ya "sihir", yaani kufanya kitu kionekane sivyo ndivyo, watu wanajifunza na inaelezeka/kufafanuliwa kisayansi jinsi inavyotenda kazi.

Mfano sonara akitengeneza pete ya fedha iliyofunikwa na dhahabu, huyu literally anaitwa "saahir" kwa sababu katengeneza "sihir" yaani kafunika pete ya fedha kwa dhahabu na yote inaonekana kama dhahabu (سحر الفضة الى ذهب).na mteja anajua na ananunua kwa mapenzi yake.

Maana yangu ya "sihir" yenye manufaa ni kama hiyo, sina maana "sihir" ni ule uchawi wa tunguli na kuruka angani usiku mtu akiwa uchi,au mlozi, mwanga, muuaji wa kichawi nk.--- huo ni ushirikina na ni dhambi kubwa sana.

Kiswahili ni lugha changa sana kwa kiarabu, nimeangalia katika tafsiri moja ya kiingerezaza ya aya 2:102, maneno; " yua'llimuna nnasa sihr---" wametafsiri hivi;- "teaching people falsehood---", na syo "teaching people magic---".

Mimi sizungumzii sihr ya kupinga "haki". Kama inavyo ainishwa na Qur'an.
 
Wewe juu huko uliniambia niseme aya kamili nimeweka, sasa vipi unakuja na kusema Qur'an inasema hivi halafu unaweka maneno pungufu ya aya? Au ile kanuni ilikuwa kwangu tu kwako haihusiki?

Unarudia rudia mengi sana lakini sihr inabaki kuwa sihr.

Hakuna sihr njema.
 
Soma posts zangu zote nilizokujibu, utakuta maswali.
Sioni swali linslonihusu mimi.
Weka swali lako hapa ambalo uliniuliza alafu na mimi unijibu maswali langu.

Kuna sihr njema kwa mujibu wa qurani?

Kama jibu ni ndio

Iko wapi dalili?

Kama jibu ni hapana hiyo sihr njema ni kwa mujibu wa nini?
 
Wewe juu huko uliniambia niseme aya kamili nimeweka, sasa vipi unakuja na kusema Qur'an inasema hivi halafu unaweka maneno pungufu ya aya? Au ile kanuni ilikuwa kwangu tu kwako haihusiki?

Unarudia rudia mengi sana lakini sihr inabaki kuwa sihr.

Hakuna sihr njema.
Huyo jamaa bhana mashaka tupu.ataruka rukaa hapooo
 
Sioni swali linslonihusu mimi.
Weka swali lako hapa ambalo uliniuliza alafu na mimi unijibu maswali langu.

Kuna sihr njema kwa mujibu wa qurani?

Kama jibu ni ndio

Iko wapi dalili?

Kama jibu ni hapana hiyo sihr njema ni kwa mujibu wa nini?

Hata ulamaa wametofautiana katika kuelewa baadhi ya mambo, tukubaliane kuto kukubaliana kwetu,

Nachelea nitakuwa narudia kitu kilekile nanyi mtarejea kilekile.
 
Wewe juu huko uliniambia niseme aya kamili nimeweka, sasa vipi unakuja na kusema Qur'an inasema hivi halafu unaweka maneno pungufu ya aya? Au ile kanuni ilikuwa kwangu tu kwako haihusiki?

Unarudia rudia mengi sana lakini sihr inabaki kuwa sihr.

Hakuna sihr njema.

Nawe unarudia yale yale bila kueleza kwa muktadha jinsi ulivyozielewa hizo aya 2:102 na 20:69.

Basi tukubaliane kuto kukubaliana kwani hata maulamaa hawakubaliani katika mambo kadhaa.

الله يعلم
 
Hata ulamaa wametofautiana katika kuelewa baadhi ya mambo, tukubaliane kuto kukubaliana kwetu,

Nachelea nitakuwa narudia kitu kilekile nanyi mtarejea kilekile.
Ulamaa gani alosema kuna uchawi mzuri?

Hata ukisema pombe tukitumia vizuri inafaa tukuache tu kwa kutumia mlango wa ikhtilaafu sio?

Wewe hujafikia darja ya kutetea mlango wa ikhtilaafu kwa sababu hujafikia darja ya kuwa Aalim hata robo,sasa unapozungumza lazima uwe na dalili hapa.

Hao ulamaa wenyewe wakitofautiana zinaangaliwa dalili zikoje kisha anafatwa mwenye dalili.

Wewe jambo ulilodai na kulitetea ni jambo la KUFRU kabisa eti kuna uchawi mzuriwakati Qurani inaeleza wazi kwamba uchawi ni ukafiri wa wazi.

Wewe unasema upo uchawi mzuri?

Wapi Qurani imesema kuna uchawi mzuri?
 
Nawe unarudia yale yale bila kueleza kwa muktadha jinsi ulivyozielewa hizo aya 2:102 na 20:69.

Basi tukubaliane kuto kukubaliana kwani hata maulamaa hawakubaliani katika mambo kadhaa.

الله يعلم
Wewe ai ulimwambia alete aya yote na sio vipande vipande?

Kaleta sasa unahamia kwinginee,sasa hata akikifanya unachokitaka utahamia kwingine tuu.

Wewe eleza hoja yako ichambuliwe hapa na sio ukiambiwa hiki unaleta hiki na kile baada ya kukiruka cha kwanza.

Aya zinajieleza wazi kwanza,makusudio ya aya yanajieleza na aya yenyewe kwanza,au wewe unataka kusema maana yake hizo aya ni zipi kwanza?
 
Nawe unarudia yale yale bila kueleza kwa muktadha jinsi ulivyozielewa hizo aya 2:102 na 20:69.

Basi tukubaliane kuto kukubaliana kwani hata maulamaa hawakubaliani katika mambo kadhaa.

الله يعلم
Hazihitaji maelezo zipo wazi kabisa kuhusu "sihr" labda uwe na macho lakini hayaoni, masikio lakini hayasikii.

Hapo sikubaliani kuto kukubaliana. Masuala ya sihr yanabaki kuwa ni uchawi na kufuru.

Hakuna sihr njema hata kidogo.
 
Huyu huwenda akawa ni mpinga Qurani lakini hajitambui.

Namfahaamu huyu bwana huwa anazipinga maana za wazi za Qurani alafu analeta maana ambazo aya hazidhihirishi hivyo ukimuuliza katoa wapi maana hizo anatoka nduki balaa.

Sijui kama anajua kwamba anaipinga Wurani ama hajui,ila mimi tokea kitambo nilishampa UDHRU wa ujinga licha ya kuwa anazungumza mambo ya kufru tupu.lakini kama wanavyosema ahlul ilmi ya kwamba. لا يكفر الجاهل hawamkufurishi mjinga kwa sababu anafanya mambo pasi na kujua usahihi wake.

Back
Top Bottom