Kwani mleta uzi ni mdada?,Kiukweli watoto na TV changamoto sana,kila la khery.Unatafuta bint ukae nae utakua unampa mmeo mtihani na badaye yatakua mengine tu.....kuka na bint mzima ni mtihani bora ungetafuta wakuja na kuondoka
Eti "siamini mtu, dunia imeharibika". Kumbe huyo wa kike unaemuhitaji yeye ni malaika?
Ataishi hapa kama mwanafamilia ndg ipa atalipwa sababu ya kazi yake kwa mtoto.Duh shavuuu hili, vipi kuhusu kula na mahitaji mengine atapata hapohapo anapoishi au itakatwa kwenye hiyo 200k?
Najitambua sana ndg sijawa na sitowah kutoka na mfanyakaz wangu au mtu wa mazingira ya karibu na ninapokaa ilishawah niletea mabalaa sana bora nikatafute huko mbali.Unatafuta bint ukae nae utakua unampa mmeo mtihani na badaye yatakua mengine tu.....kuka na bint mzima ni mtihani bora ungetafuta wakuja na kuondoka
AiseeIv umeelewa kweli? Wa kiume atalala wap? Atapaswa alale na watoto wangu wa kiume iv unajua hawamashoga wa ukubwan wamtoka wap?
Huyo wa kike si atalala na dada wa kazi atawaharibuje? Soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kucoment
Mkuu hujasema upo mkoa ganiNajitambua sana ndg sijawa na sitowah kutoka na mfanyakaz wangu au mtu wa mazingira ya karibu na ninapokaa ilishawah niletea mabalaa sana bora nikatafute huko mbali
Mkuu hujasema upo mkoa gani
Naomba mawasiliano yako mkuu nikuunganishe na mtuDar mbezi beach so hata awe mkoan aje tu
Kwahiyo unaamini uharibifu pekee wanaoweza kuupata wanao ni kuingiliwa na wanaume na kugeuzwa mashoga? Hujasikia kuhusu wadada wa kazi kuwatumikisha watoto wa kiume kingono? Anyway, kila la heri mkuu!Iv umeelewa kweli? Wa kiume atalala wap? Atapaswa alale na watoto wangu wa kiume iv unajua hawamashoga wa ukubwan wamtoka wap?
Huyo wa kike si atalala na dada wa kazi atawaharibuje? Soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kucoment
Amin unavyoamin acha na me niamin ninavyoaminKwahiyo unaamini uharibifu pekee wanaoweza kuupata wanao ni kuingiliwa na wanaume na kugeuzwa mashoga? Hujasikia kuhusu wadada wa kazi kuwatumikisha watoto wa kiume kingono? Anyway, kila la heri mkuu!
Watoto wanarud shule saa 11 akirud kamechoka kanakula na kulala huo muda wa tv anaupataje?huyo mdada atafundisha saa ngap?kua mkweli tukutafutie mke mzuri
Nenda PM nimekutextWapendwa nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani...
The lesser of two devilsKwahiyo unaamini uharibifu pekee wanaoweza kuupata wanao ni kuingiliwa na wanaume na kugeuzwa mashoga? Hujasikia kuhusu wadada wa kazi kuwatumikisha watoto wa kiume kingono? Anyway, kila la heri mkuu!
Acheni kujifanya wajuaji,mtakuwa hamna familia nyie.Watoto wanarud shule saa 11 akirud kamechoka kanakula na kulala huo muda wa tv anaupataje?huyo mdada atafundisha saa ngap?kua mkweli tukutafutie mke mzuri