sawa mama terry asante kwa ushauri wakonakushauri uongee na mods waifute hii thread, unajidhalilisha kaka 🙁
utaachwa na basi shauri yko we shangaa shangaa tu hapo bibieMnaongelea nini nyie.
utaachwa na basi shauri yko we shangaa shangaa tu hapo bibie
elezea basi nikushauri
PAW hayupo around kweli?elezea basi nikushauri
Chana bateta food
PAW hayupo around kweli?
au petroli pia inasaidia
paw bwana haleleweki eleweki ..yule hachelewi kukupumzisha wiki mojakwanini unamuogopa paw? ni matusi au?
poa kaka ..appreciatempe hongera bw zaka zaka na amsalimie yuleeeee naniliu
asantee kwa ushauri mtu wanguPole my dia!kama sio kawaida na unahisi ni tatizo jaribu kuonana na wataalamu kwa ushauri zaidi usije ukapata matatizo bure!!
sawa mama terry asante kwa ushauri wako
Wadau nahisi na naona kuwa Zakaria wangu ameongezeka sana .. Najua huu sio ugonjwa .. Siwezi kukimbiwa kweli hapa? Naogopa.
.....................duh!mfanyishe zakaria diet