Nahisi simpendi mke wangu

Nahisi simpendi mke wangu

wee jamaa una roho ngumu sana....

Ila watu kama wewe lazima wawepo ili dunia izunguke na equation iwe balanced...

In short,unatudhalilisha wanaume wenzio...tena sana....tena unaidhalilisha taaluma yako pia...mimi ndo maana niligoma kabisa kuoa mwanamke mwenye elimu fupi....hawanaga akili kabisa

Simama kama mwanaume.....nahisi amekuloga tayari,ila waweza kujinasua....Pangani,Kigoma,Rufiji et all pako wazi muda wote,....waweza kwend kuokoa maisha yako mapema....

BTW mimi ningekuwa wewe,ningemuua huyo mwanamke immediately.....tena kistaarabu kabisa(kama livyouliwa sheikh Ilunga)....make hapa nakuhesabia tu.....huyo mwanamama atakupoteza wakati wowote....
Stay tuned,ila kama unapenda kumuona bado anapumua it means wewe utapotea....ili usipoteza vyote,andika urithi kwa wanao mapema,ili hata ukifa,wanao wapate pa kuanzia,otherwise....you are going to lose everything,just everything.....

The Magnificent,
Under the sun.

yaani mkuu nimesoma nikasisimkaa.ivi bado wanaume wa ivi wapo tena una elim yako?mama ako mzaz yupo??....

natamani nikuone ivi face to face nikuhamishe apo hom fastaaa...yaani amefungwa na pepo baya la uyo mwanamke..mi ningeua haki ya munguuu....ilo ni ibilisiii kaka achaaa uyo mwanamke leo jioni hii km hautaki andika urithi sasa ivi
 
Kwani nimemlazimisha??? kwaza wewe una watoto? mme unaye? kam ni ndiyo hebu jarbu kwanza kuachana na mmeo alafu chukua watoto hao ulionao ukaolew na mme mwingine unayedhani(huna uhakika) hana shida. Suluhisho ni YESU tu. kuokoa ndicho kilichomleta la sivyo asingekuwa a sababu ya kuja

toka hapa
 
wee jamaa una roho ngumu sana....

Ila watu kama wewe lazima wawepo ili dunia izunguke na equation iwe balanced...

In short,unatudhalilisha wanaume wenzio...tena sana....tena unaidhalilisha taaluma yako pia...mimi ndo maana niligoma kabisa kuoa mwanamke mwenye elimu fupi....hawanaga akili kabisa

Simama kama mwanaume.....nahisi amekuloga tayari,ila waweza kujinasua....Pangani,Kigoma,Rufiji et all pako wazi muda wote,....waweza kwend kuokoa maisha yako mapema....

BTW mimi ningekuwa wewe,ningemuua huyo mwanamke immediately.....tena kistaarabu kabisa(kama livyouliwa sheikh Ilunga)....make hapa nakuhesabia tu.....huyo mwanamama atakupoteza wakati wowote....
Stay tuned,ila kama unapenda kumuona bado anapumua it means wewe utapotea....ili usipoteza vyote,andika urithi kwa wanao mapema,ili hata ukifa,wanao wapate pa kuanzia,otherwise....you are going to lose everything,just everything.....

Dah!
Kuna Raia Ambao Hamrembi,
Ujue Kimtokacho Mtu Wa Jf Chatoka Rohoni.
 
Ni stori ndefu nikisimulia jinsi tulivyoanzana, ila nahisi kuna kitu kilitumika kuingia kwenye dimbwi hili. Tangu nasoma O-Level nilikuwa nimejiwekea vigezo vya nani atakuwa mke wangu. Mpaka nikaviandika kwenye daftari. Juzi kati nikiwa nasoma kwenye library yangu nikakuta vigezo hivyo hivyo niliviandika nikiwa Chuo Kikuu, ia kilichotkea huwezi amini, uzuri wa sura na vingne vilinchaganya ama kulikuwa na nguvu ya ziada ya kunitoa akili.
Sijui kama hao wazee wataweza kubadilisha maisha ya huyu mwanamke kwani tumeshaongea na mama yake mara nyingi na kuahidiwa atabdilika. Lakini mpaka leo nasubiria mabadliko siyaoni. Mpaka hapa tunapozngumza ingawa mke wangu ni mama wanyumbani na tuna mfanyakazi nguo nanyosha mwenyewe kwa miaka yote. Taa ikiungua niko safarini nasubiriwa nije nibadili mwenyewe. Muda si mrfu nimepigiwa simu kuwa umeme umeisha nyumbani. Ninunue ilhali niko mikoani mingine yeye yuko ndani. Hela ninayomwachia ni nyingi nikisema hapa watu watadhan nafanya promo.

kaka mimi ni mwanandoa mwezio.nakushauri mpe break uyo mwanamke...hama mkoa kabisa beba toto zako peleka boarding...sidhani ht kama watoto wanaenjoy mapenz ya uyo mama...isitoshe wakiume watacoup tu.....mradi ela ipo...naomba tena mwache uyo mwanamke LEO na utupe feedback
 
Kwani nimemlazimisha??? kwanza wewe una watoto? mme unaye? kama ni ndiyo hebu jaribu kwanza kuachana na mmeo halafu chukua watoto hao ulionao ukaolewe na mme mwingine unayedhani(huna uhakika) hana shida kama hutachanganyikiwa kuliko huyu kaka. Suluhisho ni YESU tu. kuokoa ndicho kilichomleta la sivyo asingekuwa na sababu ya kuja

watu sampuli yako ndi husababisha waTZ tuendelee kuonekana maBw.ege miaka hadi miaka.....
we mpaka mtu afe ndo ujue kuna tatizo hapo? haya mambo mengine YESU anapenda kuona tunayatatua wenyewe....sio kila kitu tumuachie yeye....
After all hapa sio kanisani,ya kaisari mpe kaisari,ya mungu mpe mungu....!!

TUMSIFU YESU KRISTU
 
Amuache ili iweje, hujui kama MUNGU hapendi kuachana? hakuna cha kanisani hapo hiyo tayari ni ndoa (10 yrs wanakaa pamoja na watoto 3 halafu uje na ushauri wa kuwaachanisha wewe. Mungu atakuhukumu wewe huyu jamaa akitoroaa majukumu yake hayo na hatimaye watoto kutaabika kwa ushauri wako huo
Kwanza huyu hakumuoa huyo mwanamke ni sawa kabisa kuwa walikuwa wanazini hiyo miaka yote kumi Mungu hatambui kama hiyo ni ndoa labda kama walikiri na kuweka viapo vyao binafsi .
Mwanamke mwiba kama huyu atamkosesha mbingu kaka wa watu maana kwanza anaonekana anatumiwa na Ibilisi cha muhimu ni kuanza maisha upya basi.
Kaka asikilize moyo wake tutaongea lakini mwisho wa siku amani ya moyo wake ndio itaamua
 
wee jamaa una roho ngumu sana....

Ila watu kama wewe lazima wawepo ili dunia izunguke na equation iwe balanced...

In short,unatudhalilisha wanaume wenzio...tena sana....tena unaidhalilisha taaluma yako pia...mimi ndo maana niligoma kabisa kuoa mwanamke mwenye elimu fupi....hawanaga akili kabisa

Simama kama mwanaume.....nahisi amekuloga tayari,ila waweza kujinasua....Pangani,Kigoma,Rufiji et all pako wazi muda wote,....waweza kwend kuokoa maisha yako mapema....

BTW mimi ningekuwa wewe,ningemuua huyo mwanamke immediately.....tena kistaarabu kabisa(kama livyouliwa sheikh Ilunga)....make hapa nakuhesabia tu.....huyo mwanamama atakupoteza wakati wowote....
Stay tuned,ila kama unapenda kumuona bado anapumua it means wewe utapotea....ili usipoteza vyote,andika urithi kwa wanao mapema,ili hata ukifa,wanao wapate pa kuanzia,otherwise....you are going to lose everything,just everything.....

Dah!
Kuna Raia Ambao Hamrembi,
Ujue Kimtokacho Mtu Wa Jf Chatoka Rohoni.
Tudai Haki
MIMI nipo wazi sana,nitautetea uhai wangu na wa wale ninaowapenda no matter what....!!!!! kwa gharama yeyote ile.....nna dhambi ngapi bwana.....nakupoteza tu,naendelea na maisha....after all na mimi najua ntakuja kufa tu.....
Life is too short.....and we only live once.....
Kiumbe from nowhere hawezi kunichanganya as if nimemzaa mimi.....
To hell.......................mxiuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
pole sana kwa yaliyokukuta wewe ndiye unayejua ni kiasi gani unaumia .. na ni kiasi gani unapata maumivu ya moyo... maamuzi yako yaweza kuwa sahihi japo bado inakubidi ukubaliane na jamii itakuchukulia vibaya .... kumwacha ni moja na ni sahihi lakini pia je watoto wenu wataishije uwe tayari kutoa matunzo ya mtto....

Na pia sikushahuri kukimbilia kuoa mke mwingine kumbuka kuoa ni masaa macahache sana ila ila impact itaweza last for more than a years...... make sure unafanya uwezalo upate upate furaha yako......usisikilize jamii zaidi lazima lawama zitakuja kwako ila kubaliana ni yatakayokuja mbele yako.................

narudia tena wewe ndiye unayejua moyo wako umejeruhika kiasi gani ... jamii itakushauri bla bla nyingi... ukweli unaujua moyoni mwako...
Jamii unayoizungumzia hapa ni ipi?!!! Jamii ya bongo haijawahi kumlaumu mwanaume kwa kumwacha mwanamke. Sana sana atatafutiwa mke mwingne fasta.
 
Kwani nimemlazimisha??? kwanza wewe una watoto? mme unaye? kama ni ndiyo hebu jaribu kwanza kuachana na mmeo halafu chukua watoto hao ulionao ukaolewe na mme mwingine unayedhani(huna uhakika) hana shida kama hutachanganyikiwa kuliko huyu kaka. Suluhisho ni YESU tu. kuokoa ndicho kilichomleta la sivyo asingekuwa na sababu ya kuja, hata wewe anakuhitaji ili uwe na akili njema zaidi.
Unamsingizia YESU, kwani furaha ya mtu lazima iwe mikononi mwa mtu? Anaweza peke yake kabisa akajenga maisha anayotaka. Maana yangu ya kutohusisha kadhia hizi na mambo ya dini ni kuepuka kuji tangle kwenye web nyingine. This guy needs true salvation and it has to come from within sio katika illusions za watu wengine, once aki attain such freedom (with Jesus's help ofcoz) he can do whatever, hell, he can even walk on water! (pun intended)
 
yaani mkuu nimesoma nikasisimkaa.ivi bado wanaume wa ivi wapo tena una elim yako?mama ako mzaz yupo??....

natamani nikuone ivi face to face nikuhamishe apo hom fastaaa...yaani amefungwa na pepo baya la uyo mwanamke..mi ningeua haki ya munguuu....ilo ni ibilisiii kaka achaaa uyo mwanamke leo jioni hii km hautaki andika urithi sasa ivi

watu wengine mpaka yawakute ndo wanajifunza
Yaani huyu jamaa anataka afe kwanza ndo ajifunze...

#Ridiculous
 
Unamsingizia YESU, kwani furaha ya mtu lazima iwe mikononi mwa mtu? Anaweza peke yake kabisa akajenga maisha anayotaka. Maana yangu ya kutohusisha kadhia hizi na mambo ya dini ni kuepuka kuji tangle kwenye web nyingine. This guy needs true salvation and it has to come from within sio katika illusions za watu wengine, once aki attain such freedom (with Jesus's help ofcoz) he can do whatever, hell, he can even walk on water! (pun intended)

Eliza...

I am genuinely together with u....
kuna watu wanataka kumgeuza YESU kichaka cha hata kutetea ujinga uliopo wazi...
Yaani ni kama CCM wanavyopiga kodi yetu pale BUNGE LA KATIBA huku wakijua kabisa hawawezi kupat hiyo katiba....afu ajitokeze kiumbe aseme eti........TUMUACHIE MUNGU.....are serious guys?? eti YESU anaona....
 
ndio shida yakumpendea mwanamke shepu hiyo... mnapoamua kuchagua mwanamwali wakuoa mnakimbiliaga makalio na sura mnajua ndio mmepata sasa acha akunyooshe, watoto wazuri wenye akili timamu wapo hamuwaoi kisa hana ---- sasa impact yake ndio hiyo, sikuonei huruma hata tone endelea kukomesheka hadi upate dipresheni nakuongea pekeyako
 
Mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu hasahasa vya saikolojia, nimejaribu mbinu mbalimbali zinazoelekeza kumfanya mtu akupende na kuwe na amani ndani lakini wapi.

Kwa mfano kuna kipindi nawapeleka kanisani na baada ya hapo nawaambia hakuna kupika leo tunaenda kula hotel. Tukifika huko wengine wanafurahi na watoto wanafurahia ma-burger na vingine lakini yeye naanza kufoka kuwa nachezea hela na vyakula vibaya.

Yaani ni mtu wa tofauti. Siku moja nikasema leo hatulli nyumban tunaenda hotel, nikachukua chumba hotel (Kunduchi) nikijua tutauwa tunahuisha mapenzi lakini nichopata natamani kulia. Unamlazimisha mtu ku-do kama umembaka, hakuna kushikana shikna wala nini.

Maisha yananitesa mimi, inaniuma kwani kuna warembo wanakuwa wanaonyesha interest

Mkuu Sangarara, unaweza kupita hapa ukamshauri huyu ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo miaka yote kumi hujamuoa huyo mwanamke???? Ndio maana ana frustration
 
Jamii unayoizungumzia hapa ni ipi?!!! Jamii ya bongo haijawahi kumlaumu mwanaume kwa kumwacha mwanamke. Sana sana atatafutiwa mke mwingne fasta.

huwa wanalaumiwa sema haiwi direct attack kama mwanamke akifanya..... kiukweli jamaa afanye maamuzi magumu
 
Ndugu yangu sema na moyo wako, km kweli wewe sio chanzo cha migogoro yenu, chukua uamuzi mapema usije ukafa siku si zako, ndoa ni utata haswa unapo fall to a wrong pertiner expect a bundle of stress, kina mama Rwakatale wana jua hilo japo ni washauri wa ndoa zetu.
 
Eliza...

I am genuinely together with u....
kuna watu wanataka kumgeuza YESU kichaka cha hata kutetea ujinga uliopo wazi...
Yaani ni kama CCM wanavyopiga kodi yetu pale BUNGE LA KATIBA huku wakijua kabisa hawawezi kupat hiyo katiba....afu ajitokeze kiumbe aseme eti........TUMUACHIE MUNGU.....are serious guys?? eti YESU anaona....
Ni maajabu kwakweli bad enough wanataka na wengine wawe na retarded mindset kama yao
 
Ni stori ndefu nikisimulia jinsi tulivyoanzana, ila nahisi kuna kitu kilitumika kuingia kwenye dimbwi hili. Tangu nasoma O-Level nilikuwa nimejiwekea vigezo vya nani atakuwa mke wangu. Mpaka nikaviandika kwenye daftari. Juzi kati nikiwa nasoma kwenye library yangu nikakuta vigezo hivyo hivyo niliviandika nikiwa Chuo Kikuu, ia kilichotkea huwezi amini, uzuri wa sura na vingne vilinchaganya ama kulikuwa na nguvu ya ziada ya kunitoa akili.
Sijui kama hao wazee wataweza kubadilisha maisha ya huyu mwanamke kwani tumeshaongea na mama yake mara nyingi na kuahidiwa atabdilika. Lakini mpaka leo nasubiria mabadliko siyaoni. Mpaka hapa tunapozngumza ingawa mke wangu ni mama wanyumbani na tuna mfanyakazi nguo nanyosha mwenyewe kwa miaka yote. Taa ikiungua niko safarini nasubiriwa nije nibadili mwenyewe. Muda si mrfu nimepigiwa simu kuwa umeme umeisha nyumbani. Ninunue ilhali niko mikoani mingine yeye yuko ndani. Hela ninayomwachia ni nyingi nikisema hapa watu watadhan nafanya promo.

Hakika kuna wanaume wavumilivu, huwa tunasema wanawake ni wavumilivu ila na wewe ni mwanaume mvumilivu.

"Hakuna mahali utakapoipata furaha, zaidi ya furaha itokayo moyoni mwako"

Kazi ni kwako!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom