Ukweli1
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 550
- 333
MO11 come this way mchepuko
Nilijaribu kufanya utafiti na nikagundua kuwa kuna mke wa kaka yangu ambaye amemfundisha chuki dhidi ya mama yangu na dada zangu ila zaidi naona ameenda mbali na kunichukia mimi pia
Sasa unapaswa uanzie hapa,usifanye mambo kwa hasira
Kumfukuzia mbali au kumpa muda aondoke mwenyewe mbona ni kujichelewesha kuanza upya. Ukigundua mtu humtaki mtimue tu asogee mbali na mambo yako kuliko kukaa na mtu ambaye huna matumizi naye leo wala kesho!!!!!Duh kuna watu ni so destructive pole sana kaka angu kwa magumu unayopitia. Divorce haitasaidia hususani kama unawapenda watoto wako. Jitoe kafara tu.
Huyo mwanamke mpotezee najua ni ngumu ila inapobidi inabidi ui force akili yako ikubali uhalisia jali watoto wako hebu wafanye wanao wawe faraja na furaha yako.
Mkuu tafuta suluhu mapema maana kuongea peke yako ni mwanzo wa kuchanganikiwa, tatizo limeanzia katika familia yako, anga kuweka sawa huko then utamalizia na kwa mkeoNilijaribu kumpeleka kwao lakini hata mwezi haukuisha akarudi na fujo zake. Nikimsihi kubadilika yeye anasisitiza juu ya mali. Kwa hiyo kutafuta kwangu inakuwa mwiba kwangu.
Mali zangu zinataka kunitoa roho mwenyewe kwa kujaribu kuvumilia ili niokoe mali zangu ninazopata kwa shida. Nimejenga nyumba nzuri ila nalala kama mara sita kwa mwezi, muda wote niko field kutafuta, wanaojivunia nilicholeta hawataki kuuona mzigo niliobeba. Na kwa tabia yangu kila nikija lazima nibebe kifurushi lakini kuna muda huwa sipokelewi.
Kuna kipindi nilikuja Dar na samaki kutoka Mwanza nikatamani zingeibiwa maana baada ya kushuka kwenye taxi nilibeba mizigo yangu watu wamesimama kwenye nyumba wananiangalia bila hata kuja kunipokea. Niliwaza sana nikasema kwa sauti nimepotea nyumba???
Sasa unapaswa uanzie hapa,usifanye mambo kwa hasira
Mkuu pole ila una mawili ya kufanya, moja fuata dini yako na wenye "busara" na uwe tayari hata kuishi maisha ya kufurahisha wengine huku we ukiumia au kaa kama mtoto wa kiume consult nafsi yako thoroughly then amua once and for allNilijaribu kumpeleka kwao lakini hata mwezi haukuisha akarudi na fujo zake. Nikimsihi kubadilika yeye anasisitiza juu ya mali. Kwa hiyo kutafuta kwangu inakuwa mwiba kwangu.