Kaka Naomba kwanza nikupe pole nyingi kwa maisha unayopitia. Naomba nikushauri machache nawe unaweza kuona kama kuna baadhi yanafaa ·
Mkeo hajaridhia mahusiano yenu: Bila mume na mke wote kuona kuwa ujenzi wa mahusiano yetu ni juhudi zetu za dhati sisi wawili hakuna ndoa/mapenzi. Methali ya kale ya waingereza inasema it takes two to tangle imeweka wazi kuwa jambo jema lazima lihuishe effort ya watu wawili. Pengine hajatambua kuwa ndoa ni wawili , siri ni zenu na hajatambua nafasi yake kama mshauri mkuu. Na tukigeuza shilingi labda humpi nafasi ya kuona nafasi yake kwako. Kwanza una moyo sana wa kuishi kwa uvumilivu, ni wanaume wachache sana wanaoweza kuvumilia wanawake wenye viburi kama mkeo. Ndio maana biblia imesema ishi na mwanamke kwa akili maana ni viumbe wasiotabirika. Ila kwa kiasi Fulani baadhi ya tabia umezijenga mwenyewe, mfano siku ya mwanzo kabisa aliposema usinitambulishe kanisani-that was the very first warning sign . Kwangu mini ningehypothesize mambo haya o Ana mtu wake wa zamani, hataki kuonyesha kuwa amemuacha o Ana dark spirits ambazo kudeclare kutengana navyo mbele ya altare ni hatari sana sana o Ana personal greedy nature ambayo inamwambia huyu bado hastahili kuwa mume hivyo anajishikiza tukuna watu wana roho hizi hadi wanazeeka bado hawaja own ile hali ya kuwa wanandoa yaani wana hisia kuwa they are about to leave.
· Mkeo hana trust na wewe: Hivi mtu unayempenda unaanzaje kumtuhumu kuwa ataleta ukimwi? How dare she? Napo hapa kaka naona umejenga kitu kibaya kwa kumuendekeza na maneno yake makali , anapoanza kulalamika mambo yasiyokuwa na ushahidi wala dalili hiyo inaashiria haya; o Yeye si Mwaminifu na hajawahi kuwa mwaminifu. Wanasaikolojia wanasema what you say is a refection of yourself mfano kuna watu watatu wamepita sehemu wakamwona mwanamke amesimama pembeni ya mti wa kivuli, mtu wa kwanza akasema huyu mwanadada atakuwa changudoa anasubiri mteja wake, wa pili akasema jamani mnajua siku hizi majambazi na matapeli ni kina mama , ona kama huyu ametega mingo amwingize mtu chaka, mtu wa tatu akasema jamani dunia hii bila sala za kina mama tungekwisha ona huyu mama anasubiri basi awahi maombi. Wote wanatoa conclusion ya tukio based on what they have either done, seen , or think. Hivyo ni dhahiri mkeo si mwaminifu na anaonyesha chembe hizo kwa maneno yake. Mfano mwingine ni mtu asiye na amani na mwenzi wake na kupekua simu , barua pepe , kompyuta kisa ana hofu kuwa huyu ni mzinzi, tabia hii ni reflection kuwa either yeye ni mzinzi na anataka kuprove kama mwenzie naye yupo hivyo au ana insecurities . Kama unapenda mtu haumchonoi na kumuwazia vibaya bali mnaongea kwa upendo juu ya nini unaweza kuwa wasiwasi wako mwenzio anapokuwa mbali. Imagine mpo mbali mbali mwenzio hasemi kama anakumis , hasemi hofu ya yeye kuwa mpweke , hakusisitizi kujulinda (japo ni obvious kuwa kujilinda ni vema ila ktk mapenzi watu hukumbushana) ila unaporudi tu nyumbani ni kelele au kupekuliwa kuwa umedanganya? ni dhana inayomfanya mtu asiamini chochote juu yako.
Upendo umekufa kwake: Kuna methali inasema To be trusted is a greater compliment than to be loved yaani msingi mkuu wa upendo ni Imani. Mwenzio amesafiri unaamini kuwa yupo kazini, yupo salama , ananipenda na tunajenga maisha . Upendo unapotoka ndipo tunapoanza kusema na kuhisi aah leo ana mwanamke , leo ana huyu. ·
Mkeo ni Mchoyo: Mnapoingia kwenye ndoa na Mmoja anawaza mali saa zote na jinsi gani mkiachana mtagawana ni dalili ya hatari sana . Mali ni matokeo ya upendo na kazi ya wawili. Na mali haiwezi kuleta faraja pasipo na upendo. Nakusihi uwe makini na mustakabali wa watoto wako , mfano elimu; Pindi mkiachana (hatuombei) anaweza akauza kila kitu na watoto wakakosa hela ya kusoma. Unaweza kuoana na mwanasheria akakushauri jinsi ya kuandika will ili tu iwe kitu kinachotambulika kisheria in case of anything.
·
Your health and life is at great risk: Mtu anayeweza kukwambia kwa kinya kuwa nakuombea mabaya ni Zaidi ya shetani. Mtu wa hivi ana visasi na vinyongo na haoni tabu kukuua. Naona umepuuzia kauli nyingi sana ila kwa mtiririko wa simulizi hizi ungeweza kupeleka haya kwa wazee wa kanisa au vyombo vya sheria. Tumeshuhidia kina baba wengi wakipewa sumu au kuuliwa kisa mali na chuki . Thus be extra careful and dont neglect any word or gesture. ·
Wrong company of friends: Mkeo ana washauri wabaya, marafiki wabaya na amewakumbatia. Kwa kuwa muda mwingi upon je kikazi na kwa kuwa yeye yupo idle , anatumia muda huo kusengenyana. Remember an idles mind is a devils workshop.
Baada ya yote haya tafakari kipi bora: Lying to the world that you are happily married and killing your soul or facing the truth and save your soul. Its never too late to make a decision. Biblia hairuhusu divorce ila inapofika afya na maisha yapo hatarini then u need to decide na ushukuru hamjafunga Pinngu maana in this case ingekuwa real Pingu.
May God guide u accordingly.