Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far
Ww umewahi kumwambia mtu umevaa a rangi gani km hutaki kumpa hizo v2?
duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far
duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far
Sasa kama hamjafika that far ataanzaje.kukuuliza umevaa chupi gani na ww unamjibu?au unamtumia na picha kabisa?
Ww umewahi kumwambia mtu umevaa a rangi gani km hutaki kumpa hizo v2?
hatuongelei kuhusu mie hapa..ni kuhusu mleta mada na mpenziwe
yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari...
mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1
Mademu wote malaya kasoro mama yangu na bibi zangu tu
siamini kama alifanya ama hakufanya hivo
ila ninachosema hapa..mtu akikosea na akahitaji second chance apatiwe..awekwe kwenye matazamio..watu hubadilika
ahaaaaaa nimeipenda hiyo,,imenikuta mwenyewe,,,ila nimejikaza kuacha maana list niliyoikuta ni balaaaaaaaaaUSIWEKE MTEGO WA KUMFUMANIA MKEO KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA tchaoooooooooo kwa stori hiyo mimi wewe ndo nakuona unaonewa samahani lakini
Ila kwa kumpa angalizo kua next time tatizo kama hilo no forgiveness,niliona ni busara na yeye pia atajifunza kitu kutokana na incidence,,
Samahanini sana kwa maelezo marefe kwani hata mimi sipend kusoma thread ndefu ila nimelazimika kuwapa picha kamili.
mademu wote malaya kasoro mama yangu na bibi zangu tu
Hakuna anYepingana na ww kuhusu kusamehe sababu uamuzi ni wako 2 una haki 3 I blv in 2nd chances
Ila tatizo umekua bwe-ge mtozeni aisee
huyo Mr lekuture ts obvious anagegeda kama yake we we unaambiwa anamtaka na unakubali
We jamaa sijui Wa aina gani
Kama hnaamua kumsamehe msamehe with the clear picture kwamba jamaa anagegeda sio anamtaka
mkuu unajua amana kitu kibaya kama kujidanganya katika maisha ... alafu baada ya miaka miwili ukagundua umedanganywa alafu ukajikuta katik kila useme unaoanza unaanza na "ninge" wakati huo umechelewa sana .... any way mapenzi ni upofu na kizunguzungu aya jizungurihe weweweeeeeeeeeeeeeeee mpaka udondoke uzimie all the bestok let say kaliwa!,,ndo atakua wa kwanza?,,,by the way sijamkuta bikra!,,means alikua ameshaliwa,,,to me r'ship goes beyond kuliwa na kulwa,,,busara ni sehem muhimu sana kwenye mahusiano,,,m am proud nilipata busara za kufikia uamuzi wa kumsamehe,,,
usikute na ww unakomaa kaliwa coz hua unafanya hiv na unajua kabsa apo ni manyoya tehe tehe,,,
mi nampenda mpenz wang na kama n kumuacha t has to be somnthn realy serius,,
hadi amkute mtu yuko juu kilimani anapanda ndo ataacha