Niwasalam wana mmu,ni matumain yangu kila moja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku,kwa ambao wana matatzo mungu awape ufumbuz.
Lengo la uzi huu ni kutaka kuleta mrejesho wa thread niliyoileta kwenu siku za nyuma kua nahis naibiwa.Kwenye ile thread nilieleza wasi wasi wangu juu ya mpenz wangu na dhumun langu lakumfanya suprise kuonana nae il nijue kinaga ubaga,na last wikend ndivyo ilivyokua;
kupitia my causin anaeish ddma nilipanga arrangement kua yy (causin) ampigie shmj ake na kuomba kuonana nae siku ya j,moc uck ambapo ilikua ndo muda ambao ningefika aliko mpenz wang,mambo yakaenda poa na kufikia sa 2 kasoro tayar nkawa nimefika.
Kwa kweli suprise ni nzuri lakin mine was too suprising,,,,kuniona kidgo azimie,tuliend nlipofkia(lorge) thn nkaona kabla ya kuanza kusema kilichonleta nikaona vzr tuonyeshe tumemisiana kivitendo then after that nikamueleza kua kimenileta kummic pia it was her fon na coz ckumpa nafasi tena ya kushika cm yake i was sosure ningekuta kila kitu ingizingatiwa she ddnt expect me,,,,
alileta mgomo kuweka pattern lkn bdae alifanya hivyo na mm kuingia ndan kujionea,,,,nilikuta conversation kat yake na mtu ambae alinieleza uko nyuma kua ni her supervisor and anamfundisha darasan,,,the charting was so intimate kias kwamba i was frustrated,,,kwa bahat nzuri msure(lecture) akapiga simu nikapokea na kumpa ya moyon kua he has to let the girl go since namjua na km akiendelea taarifa zitamfikia mke wake pamoja na uongozi wa chuo(hop this wil help),yule bwana ni mtu na familia yake and he was takin adv of being a lecture kwamba bi dada akizingua atamshika,,,vagi likaanzia apo na kwa kwel it was so painfully kwangu ingawa ni kwel aliniambia yule mwl anamtaka ila hakuniambia wanachat maneno mazuri ivo,,,aliniomba msamaha sana kias kwamba alikua anagara gara chumba kizima claiming ananpenda and she z not ready kuniacha,,,,,
Mpaka asbh niliamua kumsamehe na kurud mkoan kwangu,,ila kwa kumpa angalizo kua nxt tyme tatzo kama ilo no forgiveness,niliona ni busara na yy pia atajifunza kitu kutokana na incidence,,
Samahanini sana kwa maelezo maref kwan hata mm cpend kusoma thred ndef ila nimelazimika kuwapa picha kamili.