Nahisi naibiwa-mrejesho

Nahisi naibiwa-mrejesho

miss chaga nilidhan hua unafanya reasoning,,,megundua ya not!,,,
watu wanawafumania wake zao wanawasamehe sembuse mpenz?,,,
by the way hata uamuzi wa kumsamehe na conversation zile ulitokana na sabab nyng ikiwemo i was sure it was the initial stages,,,mm pia nilikua muumin wa kuacha tena bila hata kufanya reasoning na wala kupgizana kelele bt i found out ni utoto,,,na ndo maana utu uzima dawa,,,

Tumia akili ww kuna tofaut kubwa sana kat ya mpenzi na mke
 
Nadhani atakuwa hamjui....

Hebu mpe shule ya mangiri.

ok, kwa faida ya wote, ngiri ni mnyama mwenye spidi kubwa sana anapokimbizwa na adui yake hasa anapotaka kumgeuza kitoweo...

lakini mara tu baada ya kumzidi mbio, akifika tu mbali na huyo, ngiri hujisahahu kabisa na kuanza kuchunga tena..

imagine magombe junior... jaribu kuchora conclusion kutoka kwa mpenzi wako, mfananishe na mnyama ngiri,

just for good..
 
Last edited by a moderator:
Huyo demu ni mjanja wakati mnaelekea kwenye longe alishazifuta msg zote mbaya,Wewe jitahidi kumwomba Mungu amalize masomo ili arudi kwako ili uwe karibu naye kwa ajili ya kumbana,;Kwa Distance hiyo na navyomjua huyo demu wako kugongewa kupo nje nje tu kiongozi.
 
ok, kwa faida ya wote, ngiri ni mnyama mwenye spidi kubwa sana anapokimbizwa na adui yake hasa anapotaka kumgeuza kitoweo...

lakini mara tu baada ya kumzidi mbio, akifika tu mbali na huyo, ngiri hujisahahu kabisa na kuanza kuchunga tena..

imagine magombe junior... jaribu kuchora conclusion kutoka kwa mpenzi wako, mfananishe na mnyama ngiri,

just for good..

Well, kama hajakuelewa mchaji tuition fee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom