nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,682
- 14,067
wahenga walisha sema kumegewa demu ni siri ya ndani.
sasa yeye kaleta hadharani
wahenga walisha sema kumegewa demu ni siri ya ndani.
Mademu wote malaya kasoro mama yangu na bibi zangu tu
nahisi jamaa alijua k zina speed meter... demu analiwa huyo basi tu ajui
Daaaah, ww una moyo mgumu kama ARSENE WENGER! kwa taarifa yako, baada ya kukuomba msamaha wewe, anaefuata kuombwa msamaha ni LECTURER, tena kwa kupewa mzigo, wewe si unasema alikuwa anagalagala, sasa lecturer atapewa mzigo WHOLE SALE ambao utamsahaulisha maneno yako yote! Pole ndg yng, yaani ktk mabingwa wa kusamehe, wewe umo, umemshinda hata NELSON MANDELA
Labda atakuelewa wewe kwa kuwa ni mwanamke.
Huyu jamaa anahitaji maombi, tena ya Yohana Mbatizaji.
na anahitaji kombe aiseeDaaaah, ww una moyo mgumu kama ARSENE WENGER! kwa taarifa yako, baada ya kukuomba msamaha wewe, anaefuata kuombwa msamaha ni LECTURER, tena kwa kupewa mzigo, wewe si unasema alikuwa anagalagala, sasa lecturer atapewa mzigo WHOLE SALE ambao utamsahaulisha maneno yako yote! Pole ndg yng, yaani ktk mabingwa wa kusamehe, wewe umo, umemshinda hata NELSON MANDELA
USIWEKE MTEGO WA KUMFUMANIA MKEO KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA tchaoooooooooo kwa stori hiyo mimi wewe ndo nakuona unaonewa samahani lakini
...Alileta mgomo kuweka pattern lakini baadae alifanya hivyo na mimi kuingia ndani kujionea nilikuta conversation kati yake na mtu ambae alinieleza uko nyuma kua ni her supervisor and anamfundisha darasani the charting was so intimate kiasi kwamba I was frustrated....
Acha maneno yk ya kipuuzi km wt basi wote tuu kwan hao wengine wameweka vifuu au?
Wahenga walisha sema kumegewa demu ni siri ya ndani.
tehe,ths tym sijataka ushauri nimeshafanya yangu na apa nimeleta mrejesho kama ambavyo niliahid,,ushauri nilihitaj mwanzo not ths tym bibie
Una uhakika, unahisi au unanidhalilisha kwa kuniita bibie? Mi nakuheshimu sana, nataka nijue kama heshima inachukua mkondo wake kwa upande wako.