Nina mpenzi tunapendana sana. Kwa kweli ni raha tupu. Hivi karibuni nimegundua hajatahiriwa. Imeniumiza maana sikutegemea na wala sikugundua mapema. Nami nampenda sana. Je, kuna madhara yoyote kuwa na mpenzi mwenye govi? Nini nifanye?
Mwaka na nusu mnalala pamoja na hujui kuwa?
eeeh?
hupigagi koni? au maiki?
daaah mwaka na nusu .........wakati anapovua boksa unakuwa umefumba macho???!!!!
Unajitetea au unamtetea Govinder wako?? Govi "halifai"!
Kwa hiyo unataka wana JF waende wakamkamate wamtahiri kwa nguvu au.....Mambo mengine sio lazima kuyaleta mitandaoni..........
Aisee kamwambie alikate haraka sana na alizike mbali wewe uko wapi tafiti zimeonyesha kuwa mkono wa sweta ni chanzo kikubwa cha magojwa ya zinaa ukiwemo ugonjwa hata wa UKIMWI pamoja na kaswende pia ni chanzo kikubwa kueneza kansa ya mlango wa uzazi Cervical Cancer tena kapime uhakikishe hajakuachia magonjwa huyo especially human papiloma virus
Hao wanaokupa ushauri mwngine usio wa kitaalam achana nao
Dadeq Zako Kwanza Umevunja Amri Ya 5... Inayokukataza Usizini, Pia mwambie jamaa alikate dubwasha lake maana hata mungu alimwambia musa awatahiri watu wake ndo mana hata yesu alitahiriwa...
ila usizini tena muombe mungu akunyooshee mapito yako ili tamaa ya kuduchuana isikusogelee... sawa??!
Hakuna madhara........cha muhimu ni kukumbuka tu kulisafisha hilo sweta......maana wakati mwingine linakuwa kama kiroba cha uchafu.........Mkuu umenielewa? ninachotaka nielimishwe madhara ninayoweza pata mimi (mwanamke) kwa kuwa na mpenzi mwenye govi.
huwezi amini nisemalo ni kweli. Mapenzi anayonipa yalinifanya nisiweze kugundua lolote analoficha. kwa mfano huwa hawezi lala bila boxer au night dress wakati mie nalala zangu uchiiii. na wakati wa mchezo huwa anavua tukiwa tayari kwa hiyo sikuweza gundua lolote!
Nimeku- miss mpenzi wangu...ha ha a kwani haifanyi kazi sawa sawa
hahahahaha daaah mkuu umenivunja mbavu asee
miss you moreNimeku- miss mpenzi wangu...
Siku zote najua we mwanaume