Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina hisi kuna watu wanafanya juu chini katika kumshawishi aendelee kuongoza nchi hali yeye akiwa hapendi hata kidogo kuendelea.
Source: Mimi na kusoma-soma kwangu magazeti yetu na sredi za JF !!
Source: Mimi na kusoma-soma kwangu magazeti yetu na sredi za JF !!