Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Mkuu kwani wewe huwezi kubana ushuzi?

Huwezi kubana kojo?

Na vipi kuhusu kubana kicheko?
Jifunze KUBANA vyote hivyo utakuja kunishikuru!..
 
Nafundisha huu unyama😂😂😂🙌🙌
Wahi sasa
Huyu ni nani
Ni poor brain
😂😂😂😂😂😂😂
Njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuweka vijedwali uje na 5k tu
Nitumie elfu mbili kwa namba yangu ya vodacom kabla sijaweka wazi kwa watu jinsi ilivyo rahisi kutengeneza haya majedwali
 
Yaani ulikaa kutolea watu mimacho uone chuma ulete? Utaona mangapi?
 
Ila we jamaa 😃😃😃
Waambie waje niwafundishe

Mengine si kama haya hapa
Haya waambie waje na buku
Khaaaa nyieee hivi mmejulia wapi..
Mbona kila siku mlikua hamfanyi mpaka nimekuja kuwaonesha ahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 ngoja kuna mpya hyo taileta dadek
 
Duh! Unaharakisha kututungia uongo sijui ulikuwa unawahi wapi 😆 Kwamba babu kauliza kama atapata chenchi hapo hela bado hajaitoa mfukoni akajibiwa sina (haijulikani ni chenchi ya TZS ngapi) halafu baadae babu ndiyo anatoa hela mfukoni apewe juice ya mjukuu 😆
Wafanyabiashara huwa hawatoi chenchi hovyo na mara nyingi huwa ni mwiko kutoa
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
Tubabu twa hivyo ni tuchawi sana na tukada twa ccm
 
Namba ya kuchora jedwali
Screenshot_20250423-111551.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom