Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Duh! Unaharakisha kututungia uongo sijui ulikuwa unawahi wapi 😆 Kwamba babu kauliza kama atapata chenchi hapo hela bado hajaitoa mfukoni akajibiwa sina (haijulikani ni chenchi ya TZS ngapi) halafu baadae babu ndiyo anatoa hela mfukoni apewe juice ya mjukuu 😆
Baada ya kuokba chenji hakusem hata niya bei gani na muuza duka alinjibu chenji sini.babu pale pale akasema basi nipe juice nimpekee mjukuu wangu ndio akazama mfukoni akatoa elfu 2
 
Duh! Unaharakisha kututungia uongo sijui ulikuwa unawahi wapi 😆 Kwamba babu kauliza kama atapata chenchi hapo hela bado hajaitoa mfukoni akajibiwa sina (haijulikani ni chenchi ya TZS ngapi) halafu baadae babu ndiyo anatoa hela mfukoni apewe juice ya mjukuu 😆
Baada ya kuokba chenji hakusem hata niya bei gani na muuza duka alinjibu chenji sini.babu pale pale akasema basi nipe juice nimpekee mjukuu wangu ndio akazama mfukoni akatoa
kasome biology upya hilo ni swala la kisayansi
Sayansi hii haipo kule kaka
 
Ni chuma ulete ile maana katoa elfu 2 karudishiwa elfu 9500 sasa tuuiiteje hapo
Hujajibu swali.

Utajuaje ni chuma ulete na si mtu kaghafilika tu kashika hela nyingi tofauti kuzidi uwezo wake wa kufikiri kachanganya madesa kichwani tu?
 
Baada ya kuokba chenji hakusem hata niya bei gani na muuza duka alinjibu chenji sini.babu pale pale akasema basi nipe juice nimpekee mjukuu wangu ndio akazama mfukoni akatoa

Sayansi hii haipo kule kaka
ipo meku ni maswala ya how brain interprets visual impulses
 
Umesema tuwe makini, kivipi sasa, kwenye hii hadithi umesema muuza duka ulipomwambia kuwa amempa chenji kubwa mzee,alikataa kwa sababu yupo makini na anachokifanya. Tusaidie namna ya kuepuka hili suala kama kweli lipo

Binafsi nashauri tulipe kwa simu,tumia cash kama changuo la mwisho
 
Nadhani kwa mlengwa maana mi kabisa kwa macho yangu jimeona 2000 lakinimujz duka kupokea yeye kafudisha elfu 9500 tena elfu tano moja buku 2 mbili mbili na miatano moja
Sasa akituma watu si kamaliza mtaji
Yaani kutoa chenji kosa daa
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
"Utakuwa CCM kindakindaki wewe"
Kidding..... wakuu msinipopoe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom