Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
We ndo hujaiona vizuri, ilikuwa buku10 ndio maana alitaka chenji kwanza alipoona hapati akaona anunue kitu ili muuzaji ashawishike kutoa chenji. Hakuna chuma ulete hapo
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
downloadfile.gif
 
Hii naweza kusema sio chuma ulete ila ni aina fulani ya kiini macho ambapo unaweza kuifanya hata elf 1 ikaonekana ni kama elf 10.
 
Nimewahi msaidia mtu mlemavu ambaye alikuwa ombaomba Jijini Mwanza nikiwa kwenye mgahawa mmoja napata msosi akaja na kijana wakiwa wanaomba!

Nilitoa elfu 3 nikampa yule dogo akiwa na yule mlemavu,Sasa kumbe pale wanamfahamu na watu huwa hawawapi hela,ajabu ni jamaa hawakunishitua!

Hadi muda huo naingia hapo mgahawani kupata msosi mfukoni nilikuwa nina 360000/- baada ya kupiga msosi nimemaliza nachomoa pesa nilipe,kwanza nikahisi mfukoni kumekuwa kwepesi ghafla,ikabidi nitoe zile pesa Ili nifanye malipo ya Chakula!

Nilipo hesabu pesa nakuta elfu 80 haipo,nilihisi kuchanganyikiwa,ikabidi nihesabu upya lakini bado hiko kiasi kikawa hakipo!,baadae ndiyo watu wananishitua wananiambia yule jamaa mlemavu na yule dogo niliowasaidia huwa hayo ndiyo mambo Yao!,na raia wengi wanawafahamu hivyo huwa wanawaangalia tu hawawapi chochote!

Tangu siku hiyo nilijifunza kitu๐Ÿ˜
 
Chuma ulete only works pale ambapo no genuine transactions took place.
Mfano:
1. Chukua hii 5000 nitamtuma mtoto aje achukue sukari. - Hiyo hela usiichanganye na hela za dukani, subiri huyo fulani aje, mpimie sukari, rudisha change, then ichanganye na hizo nyingine.
2. Naomba change ya 5000. - Usitoe
3. Hebu niazime 1000 nimlipe huyu boda, halafu anakupa 10,000 ukate 1000 yako bila kununua kitu. Hiyo hela usiichanganye na nyingine
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
Sio kweli ni coincidence tu, mimi nilimpa buku tano mama mmoja Nilikuwa NACHUKUA chapa maandashi ya 500, akanirudishia 9500, ila nilivyo muungwana nikamwambia nimekupa 5000 we mama nikarufisha 5000 akashukuru sana
 
Je ukizidishiwa chenji na huna hayo mambo ya chuma ulete ni ishara Gani?manake Kuna cku Niko Mafinga napanda bajaji za kwenda kinyanambo ni 800,kufika nampa elf mbili dreva katurudisha elf tisa mia mbili,nkamwambia umezidisha hataki kunielewa ,nkamwambia nlikupa elf mbili , ndo abiria alikua hajashuka akanisaidia kumuelewesha dereva kuwa ni kwel aliniona nkitoa elf mbili. Nkamrudishia chenji yake yote. ..
 
Duh! Unaharakisha kututungia uongo sijui ulikuwa unawahi wapi ๐Ÿ˜† Kwamba babu kauliza kama atapata chenchi hapo hela bado hajaitoa mfukoni akajibiwa sina (haijulikani ni chenchi ya TZS ngapi) halafu baadae babu ndiyo anatoa hela mfukoni apewe juice ya mjukuu ๐Ÿ˜†
Mbona hii kawaida sana. Wauza duka wengi hawapend hiz mambo za kuombwa ombwa chenji so ni obvious utajibiwa hivyo tu hata kama hujasema chenji ya shilling ngap. Hapo hakuna uongo
 
Haya mambo yapo ila sisi wenye elimu ya kukariri maphysics na mabiology huwa ni wabishi sana

Ndo maana unapofanya biashara ni muhimu kwenda kwa waganga kuzuia mambo kama hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom