Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Sema Tu ya moyoni wewe umemwogopa babu.

Kwanini..?

Kwasababu Ungeanza na babu ingekuwa poa Sana na muuza Duka angekuamini.

Chuma ulete ipo Sana Tu.

I can prove that.
Huko kote mnahangaika bure, meseji iko kwenye alivyovaa babu
 
Ahahah kwahy wewe kaka ulishindwa kufanya kilichokupeleka dukani
Huwa sipendi kabisa hii tabia ya kufumbia macho jambo halafu mtu anaenda kijiweni kusimulia udaku. Ukiona jambo baya liseme au likemee,hata dini inatufundisha hivyo. Mleta mada katimiza wajibu wake kwa jamii vizuri sana pamoja na mhusika kukataa hiyo loss. Kingine ambacho nilitaka kuongezea hapa ni kwamba kuna tofauti kati ya chuma ulete na kuchanganya mahesabu kama ilivyoekezwa kwenye hili tukio. Chuma ulete ni pale ambapo mfano huyo mzee baada ya kutoa 2000 yake na kuhudumiwa, mwishoni kwenye kufunga hesabu unakuta pesa imepungua ikilinganishwa na mauzo. Mfano mpaka saa 10 muuza duka alikuwa na laki 2 hivyo mpaka anafunga ilitakiwa awe na zaidi ya laki 2 but anakuta ana laki moja tuu au pungufu ya hapo. Ina maana ile pesa ya babu imeenda kuchota pesa zingine.
 
Mkuu niunganishe na huyo mzee tadhal hiyo elmu naitaka Sana kubababake
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
Hizi mambo nlkuaga naskiaga tu kwa watu ebana imewahi ntokea mie mwaka jana tu hapo mwishoni kuna jamaa wale vijana wakitaa wale omba omba aliomba nimgee chochote kitu yuko vibaya ana njaa ilkua karibu na duka nmesimama kuna kitu nlkua naulizia bei, sa wakati natoa hela hivi ilikua silva hizi ndo nilimpa watu karibu angu hata mwenye duka walkua kama wananiangalia sana mpaka kuna kama roho ikawa inaiijia kunambia kuna kitu hakiko sawa but kwakua nilkua lesi na mambo yangu nikampa...

Ebana nakuja kufika mbele hivi nmepata kifaa nilichokua nataka kununua kama dk 10 hivi nagundua sina elfu 5 ambayo niliiweka kabisa pembeni mwa mfuko wa suriali yangu, vile vi mfuko vidogo mens wanavijua mbaya na zile silva sina... Daah ndo akili ikaja kuna kuna jambo lmetokea sio muda sana ambalo halikua la kawaida kwangu, kuna roho ilinambia umepigwa changa la macho mjini... Tangia hapo sitoi hela kwa hawa machalii wanaolia lia njaa mtaani tena anakuganda kabisa.. heri wale wanaokaa pembeni walemavu unapita unatumbukiza zako hela kwenye kikombe unaondoka, hawa sometimes huwa nikitia hata 200 huwa napata baraka zao baada ya muda tu...
 
Nafundisha huu unyama😂😂😂🙌🙌
Wahi sasa
Huyu ni nani
Ni poor brain
😂😂😂😂😂😂😂
Njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuweka vijedwali uje na 5k tu
Hebu nifanyie bure mkuu
 
Mwaka fulani hivi kuna jamaa alikuwa anatoa sweta mtumba mbeya anapeleka makambako kama machinga, akizungusha hapa na pale.
Siku moja kaingia kwa duka na msimbazi akanunua vocha ya buku. Karudishiwa buku mojamoja tisa katia mfukoni kaondoka. Njiani anunue muhindi wa kuchoma anatoa zote akatoa buku kanunua muhindi karudishiwa jero ila akahisi kama hazipo sawa. Kazihesabu akakuta zipo 7500 badala ya 8500.
Kazirudia rudia huku anaangalia hapo chini labda kadondosha, hamna kitu! Kaweka mfukoni na kuanza kuondoka ila akilinili haelewi hivi, njiani anajiuliza amedondoshaje? Anatoa tena mara zipo 6500! Anashangaa. Anaziingiza tena mfukoni kuona kama ameacha nyingine.
Ile anatoa tena zipo 5500! Aliamua kutembea nazo zipo mkononi mpaka alipofikia kuwasimulia masela wakamwambia hapa ndio makambako.
 
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?

Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.

Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.

Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!

Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
Sasa hapo utajuaje ni chuma ulete na si mtu kaghafilika tu?
 
Sema Tu ya moyoni wewe umemwogopa babu.

Kwanini..?

Kwasababu Ungeanza na babu ingekuwa poa Sana na muuza Duka angekuamini.

Chuma ulete ipo Sana Tu.

I can prove that.
Kiroho kilivyoruka nisigeweza hata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom