Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Kwa nini hukuenda kuwasaidia wajeze form invyotakiwa? Mbona waliokuwa wabunge wa upinzani walijaza vizuri.Achana na mawazo ya kimaskini hivyo fuateni sheria kuliko kuokota watu wasio makini kuomba kuogombea na bila kufuata sheria.Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!..