Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,740
2,000
Haiwezekani hilo la kuwa CCM watupu ila wale wapinzani wasio na nguvu kubwa kama akina profesa Jay, hezekia Wenje na wengne hasa wanawake wakaachiwa haki ifanyike ili jumuiya ya kimataifa ione kuna haki inafanyika.
Professor J hana nguvu?

Lazima una matatizo

Professor J ni mstaarabu, ana influence kwa kila mtu mpaka kaa wapinzania wake

Na ndio maana halisi ya upinzania

Yule ndio marking scheme sasa
 
Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,120
2,000
1602218456591.png

"Siri ya mtungi aijuaye kata"
 
Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
483
1,000
Bila wabunge wa upinzani pale bungeni nchi itaendeshwa kwa mawazo ya mtu mmoja(mnamjua)
Afu baadae wanaanza kulalamika, sheria kandamizi zimepitishwa bungeni. Mf hamna fao la kujitoa, penshion mtumishi apate robo kwa mkupuo then hiyo nyingine atalipwa kidogokidogo. We waache wachekelee tu upinzani kupotea bungeni.
 
Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
293
500
Lissu akipata nafasi ya urais Ana namna kadhaa za kufanya.

Kuteua wabunge wale wanaoteuliwa na Rais
Kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuunganisha baadhi ya wizara
Kuteua wabunge mamluki kutoka CCM ambao wataamia CHADEMA uchaguzi ujao 2025
Upo dunia hii kweli
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
1,978
2,000
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Chadema wamekuwa involved na beberu, na kuna msukumo kutoka kwa vibaka wa ubeberu,

Pili tatizo la chadema alitaka katiba ifuatwe wakadhani ikifuaywa wao hawamo kwenye kuwajibika, hapa namaanisha wenzao CCM wanajaza form chini ya usimamaizi, tena wanakuwapo wote siku moja kwenye tawi au ofisi zao lakini upinzani wanajaza kila mtu kivyake bila usimamizi,
Hapo ndo wanakosea kwa kukosa maarifa.
Kwa hiyo wasilaumu.
Nyakati za kuoneana huduma zimeisha, nao wajipange kuzitumia sheria.
 
Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,183
2,000
Mbowe waziri mkuu
Sugu akihospitalwa na prof jay waziri wa sanaa na michezo
Lema waziri wa sheria
Heche waziri wa elimu
Mdee waziri wa afya
hii nafasi ulompangia Lema nimecheka hadi nimezimia nashangaa naizinduka niko hospital moja ya wilaya yenye majengo na wafanyakazi wenye sura nzuriiii ila hakuna hata glaps imenibidi niondoke zangu nikanunue pain kiler
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
4,630
2,000
Kwamba nikisema CHADEMA itashinda uchaguzi huu sitakuwa juha sio? Basi oct 28 lisu atakuwa 'rahisi' chadema watapata wabunge 250 na madiwani 2700
Humo kichwani cheki betri vizuri isije kuwa kwenye hasi umeweka chanya na kwenye chanya umeweka hasi
 
mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
217
250
Humo kichwani cheki betri vizuri isije kuwa kwenye hasi umeweka chanya na kwenye chanya umeweka hasi
Mkuu sijachanganya terminal,tatizo betri lilikuwa low.Ila baada ya kuchaji ndio nimekumbuka kumbe amsterdam na bunge la senet lipo nyuma yetu na watanzania tunataka maendeleo ya watu siyo vitu.Lazima jiwe ling'oke mwaka huu si ndio mkuu..? au ?
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
4,630
2,000
Mkuu sijachanganya terminal,tatizo betri lilikuwa low.Ila baada ya kuchaji ndio nimekumbuka kumbe amsterdam na bunge la senet lipo nyuma yetu na watanzania tunataka maendeleo ya watu siyo vitu.Lazima jiwe ling'oke mwaka huu si ndio mkuu..? au ?
Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe mkuu
 
kambiyamkaa

Member
Aug 9, 2020
78
125
Hapana ! Acha kuwafikirisha Watanzania kwa dhana Kama hizo . Watanzania wana imani na Tume , na tunaamini Tume itamtendea kila Mgombea haki . Na Mshindi , atatangazwa . Nina imani kubwa Sana na Mheshimiwa Jaji Kaijage Mwenyekiti wa Tume . Mheshimiwa Kaijage ni mcha MUNGU . Nina imani naye na ndiyo maana anawaonya mara kwa mara Wasimamizi ( Wakurugenzi ) pamoja na Wasimamizi wasaidizi ( WEO ) kuwataka watende haki katika Uchaguzi huu !
 
All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,508
2,000
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Nitarudia kusoma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom