Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!..
Kwa nini hukuenda kuwasaidia wajeze form invyotakiwa? Mbona waliokuwa wabunge wa upinzani walijaza vizuri.Achana na mawazo ya kimaskini hivyo fuateni sheria kuliko kuokota watu wasio makini kuomba kuogombea na bila kufuata sheria.
 
Maendeleo hayana chama kesho Dar inasimama kwa masaa 8 tukutane Benjamin National Stadium. Kutakuwa na mauzo ya sera safiiiiii
 
Eti mkurugenzi wa tume amejaribu kukimbilia Kenya? nimeona kwenye post FB Sauti ya Kisonge :D
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa Lissu. Mmeteseka sana miaka 5 hakuna ongezeko la mshahara.
 
Huwezi kuomba uongozi wa nchi kwa kutegemea dola za kigeni. Tangazeni sera zenye mvuto. Taarifa hizi zinathibitisha ajenda OVU mlizonazo dhidi ya nchi kwa kulinda maslahi ya mataifa ya nje. Watanzania sio wajinga wala hawahitaji kurudi utumwani. Tanzania Kwanza.. Mitano tena..

jaman blunder wafanye ccm wenyewe lawama unapeleka kwa wazungu ? hii nchi inaongozwa na ccm toka uhuru, mafisadi wote ccm, upuuuz wote unaofanywa upo engineered na ccm leo uje ulaumu wazungu, nyie watu bwana hata sisi tusio na chama tunaishangaa ccm,

HII NCHI KILA SIKU INAJENGWA KUDADEKI
 
Lissu akipata nafasi ya urais Ana namna kadhaa za kufanya.

Kuteua wabunge wale wanaoteuliwa na Rais
Kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuunganisha baadhi ya wizara
Kuteua wabunge mamluki kutoka CCM ambao wataamia CHADEMA uchaguzi ujao 2025

Wakupita bila kupingwa wote watarejea kuomba kura.

Walioenguliwa wote watarejea kwenye sanduku la kura.

Kimsingi sehemu kubwa Uchaguzi itarudiwa.
 
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Tatizo toka 2015 wapinzani wamejikita kwenye siasa za kuichukia taasisi ya urais na kila anaye associate nayo, so wakasahau kuwa kuna uchaguzi na kuna taratibu zinapaswa kufuatwa. CCM tulijikita ktk kutoa elimu kwa wagombea wetu wakati wapinzani mlijikita kuhamasisha kupinga maendeleo na matokeo yake watu wenu wameingia uchaguzi with zero brain, yaani mnawaambia waingie mtaani kuleta fujo. CCM tulitumia hela za ruzuku kuelimisha wagombea ila wapinzani mlitumbua hizo hela mkijua hata mkielimisha watu wenu ni zero brain haisaidii
 
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Kuna tofauti ya ccm na magufuli,kwa kifupi magufuli wala hajui anachokifanya
 
Tunajua wamepanga kuwatoa wajinga Kafara.
Hivi mtu anayeamini umasikini ni sifa,mtu anayeamini kudai haki yake ni uchochezi,mtu asiyeweza kuona kuwa maisha ya watanzania wenzake yamekuwa magumu kwa kiwango kisichoelezeka,anatakiwa aitwe jina gani hapa Tanzania
 
Hivi nyinyi mnaoweka matumaini yenu kwa sijui Amsterdam, sijui Marekani atakuja mnajitambua kweli? bila shaka nyinyi ni wanawake(mnaojiuza) tu na ndio maana mlishikwa akili na mdada mwenzenu wa insta
Jamaa unaakili nyingi mpaka umekuwa juha
 
Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!.

Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni wateuliwa wa JPM.

Kwa mazingira yaliyopo ya huo uongozi CHADEMA kupata hata viti viwili vya ubunge ni sawa na ndoto ya mchana ila ukiwaangalia Lissu & Mbowe inaonekana kabisa wanajua hilo na inaonesha wana njia mbadala katika hilo. Je ni kitu gani wamekipanga? na watakifanikishaje?

Tukirudi upande wa Serikali na CCM kwa mazingira yaliyopo ni kama wanatumia kila njia kujua nini ambacho CHADEMA wanaki-plan, kitu ambacho inaonekana bado ni ngumu kung'amua.

Kingine kinacho nisumbua kichwa kwa nini CCM hawataki kabisa upinzani katika bunge lijalo?

Sote tunajua kuwa pamoja na wananchi wengi maelfu Ku support upinzani but kama hakuna kitu kitakacho intervene hamna mbunge wa upinzani hata moja Tanzania bara 1 atakayekwenda Bungeni.
Una stink wewe
 
Kumbuka unaandika hapa ili wana JF wasome ambapo wengi wetu tunajitambua na tumeelimika!Propaganda zenu hizi za kipumbavu kaandikeni facebook huenda mkawaokota wajinga wengi!Shwain!
Hata fb siku hizi wamejanjaruka CCM inapigwa huko balaa
 
Huwezi kuomba uongozi wa nchi kwa kutegemea dola za kigeni. Tangazeni sera zenye mvuto. Taarifa hizi zinathibitisha ajenda OVU mlizonazo dhidi ya nchi kwa kulinda maslahi ya mataifa ya nje. Watanzania sio wajinga wala hawahitaji kurudi utumwani. Tanzania Kwanza.. Mitano tena..
Hata ANC walitegemea msaada toka nje kujikomboa kutoka mikononi mwa Makaburu. Hakuna LA ajabu hapo...!!
 
Mkuu huu ni mwaka wa mapambano tu. Inajulikana kabisa Magu hataki waponzani lakini kwa upande mwingine umma unataka wapinzani kwa hiyo mwaka huu tujiandae kwa mapambano tu. Nahisi sanduku la kura mwaka halitaamua kiongozi wa nchi hii bali uma kwa nguvu ndio utakaoelekeza siasa za tz
Toa hoja za uhakika zinazoaksi kuwa upinzani wanashinda kwa uhalali na nguvu ya umma.
Linalojulikana ni kwamba Upinzani wana siasa rahisi sana miaka mingi iliyopita lakini Mwaka huu 2020 Tundu Lissu ameshindwa kabisa pa kushikia anajikuta kutwa anawakera Wananchi/Umma kwani bila kujijua anajikuta anampigia Kampeni Dr.JPM na kujipotezea imani kwa wana jamii.
Utabiri uliopo ukiufanya kwenye maeneo yaliyokuwa na upinzani kutokana na Wananchi waliowengi kudanganywa kwa viroba ambavyo havipo na Gongo kumwelewa Zaidi JPM kwa vitu anavyovifanya na vinaonekana.
 
Haiwezekani hilo la kuwa CCM watupu ila wale wapinzani wasio na nguvu kubwa kama akina profesa Jay, hezekia Wenje na wengne hasa wanawake wakaachiwa haki ifanyike ili jumuiya ya kimataifa ione kuna haki inafanyika.
Professor J hana nguvu?

Lazima una matatizo

Professor J ni mstaarabu, ana influence kwa kila mtu mpaka kaa wapinzania wake

Na ndio maana halisi ya upinzania

Yule ndio marking scheme sasa
 
Back
Top Bottom