Makosa ya CCM, ni kete kwa CHADEMA! Kwanini Chadema wanajivika joho la kiushauri juu ya makosa ya CCM?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,938
4,116
Chadema ni wanafiki?
Chadema siyo wapinzani?
Chadema ni wanufaika wakubwa wa CCM?
Je, Chadema wanajua wanachopigania?

Tangu lini makosa yanayofanywa na CCM, Chadema yakawakera na hata kujiweka sehemu ya ushauri badala ya kuwa turufu yao kisiasa?

Kuteuliwa kwa Paul Makonda na kuwa sehemu ya uongozi ndani ya CCM, kwangu mimi nilidhani hiyo itakuwa turufu ya Chadema kuwajenga kisiasa, badala yake wanaishauri CCM imfute kazi Paul Makonda!

Mambo ya ajabu kabisa haya!

Kwangu mimi, Chadema ni waoga sana dhidi ya baadhi ya vijana machachari wa CCM miongoni mwao akiwepo Makonda

Kwa nini Chadema wanalalamika kuhusu uteuzi huo wa Makonda kama siyo uwoga?
 
Chadema ni wanafiki?
Chadema siyo wapinzani?
Chadema ni wanufaika wakubwa wa CCM?
Je Chadema wanajua wanachopigania?

Tz nimoja, watanzania ni wamoja, yanayowatenganisha ni machache tu, ila mtu akifanya jambo jema apongezwe , mfano binafsi sijawahi mpongeza SSH, MWENDAZAKE, na mwendazake ipo siku nitakutana nae lazima zichapwe tu ,uyu mzee uyu
 
Ndio maana mchungaji Mbarikiwa aliwahi kusema wapanzani wote ni CCM B anaweza kuwa alikuwa yupo sahihi.
 
Wewe umeifanyia nchi nini, au unachokijua ni kuja kulalama humu kwenye soft landing?upumbavu huu kaa nao mwenyewe, kuna watu wame sacrifice a lot kuhusu nchi hii ikiwa ni kukaa mahabusu more than 200days wakati wewe unalishwa na shemeji yako, halafu unakuja kuleta upumbavu humu, wewe kama unaona mambo hayaendi vema kwa nini usiingie mitaani kupigania haki yako
 
Punguza unafiki. Makonda siku ya kwanza tu aliwavaa Lissu na Mbowe unajua maana yake.
 
Ndio maana mchungaji Mbarikiwa aliwahi kusema wapanzani wote ni CCM B anaweza kuwa alikuwa yupo sahihi.

Na ndio maana CCM wakamuweka ndani miaka mitatu ili akili yake ikae vizuri. Akina Ben Saanane wamepotezwa na Lissu kulimwa risasi huku Mbowe akipewa kesi ya ugaidi, halafu yeye anaropoka tu, eti upinzani wote CCM B. Very stupid.
 
Chadema ni wanafiki?
Chadema siyo wapinzani?
Chadema ni wanufaika wakubwa wa CCM?
Je, Chadema wanajua wanachopigania?

Tangu lini makosa yanayofanywa na CCM, Chadema yakawakera na hata kujiweka sehemu ya ushauri badala ya kuwa turufu yao kisiasa?

Kuteuliwa kwa Paul Makonda na kuwa sehemu ya uongozi ndani ya CCM, kwangu mimi nilidhani hiyo itakuwa turufu ya Chadema kuwajenga kisiasa, badala yake wanaishauri CCM imfute kazi Paul Makonda!

Mambo ya ajabu kabisa haya!

Kwangu mimi, Chadema ni waoga sana dhidi ya baadhi ya vijana machachari wa CCM miongoni mwao akiwepo Makonda

Kwa nini Chadema wanalalamika kuhusu uteuzi huo wa Makonda kama siyo uwoga?
Wanaohofia samdalusi tu nothing else
 
..NCHI kwanza.

..makosa ya Ccm ambao ni chama tawala ni hasara kwa nchi nzima.

..wapinzani na raia wema wanao wajibu wa kukosoa na kumshauri pale chama tawala kinapokosea.

..kuhusu KURA wananchi kuchagua chama chenye wagombea wenye sera zinazotia matumaini kuhusu maisha yao. Uchaguzi ni about the future, and rarely about the past[ makosa ya chama tawala.]
 
Back
Top Bottom