Nahisi kufa kwa mawazo

Nahisi kufa kwa mawazo

SINABAHATI

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
21
Reaction score
11
Mimi ni mgeni hapa ndani naombeni mawazo yenu,

Ninamchumba ambaye alikuwa nchi za Waarabu kusoma, sasa karudi nyumbani nimegundua alikuwa anampenzi wa hizo nchi akamfundisha mambo ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Lakini ameniambia ameacha,
tukiwa wote anaonyesha dalili zote za kuhitaji huko nyuma, namshtua ananiambia eti anahisi ni mbele. Je, kweli mtu aliyewahi kufanya haya mambo ni rahisi kuacha? Na tayari mahari katoa nipo njia panda maana nachukia tabia hiyo na imenichanganya kweli.
 
Mimi ni mgeni hapa ndani naombeni mawazo yenu. ninamchumba ambaye alikuwa nchi za waarabu kusoma sasa karudi nyumbani nimegundua alikuwa anampenzi wa hizo nchi akamfundisha mambo ya kula 0713 lakn ameniambia ameacha. lakn tukiwa wote anaonyesha dalili zote za kuhitaji huko back namstua ananiambia eti anahisi ni mbele je kweli mtu aliyewahi kufanya haya mambo ni rahisi kuacha?na tayar mahari katoa nipo njia panda maana nachukia tabia hiyo na imenichanganya kweli. nimekuwa mtu wa kulia na usali tu. kibaya ananiambia alikuwa hajui kama ni dhambi kweli?
 
Mmmh!!!!!!!!!!! bora mrudishe mahari yake, kwenye ndoa ndio utapata shida zaidi maana usipompa wewe ataenda kutafuta nje. tena mkemee akomeee na hiyo tabia kama haachi, mrudishieni mahari yake mapema. msije kufikia yaliomkuta muimbaji fulani wa injili.
 
daaah pole sana...
Angalia kuwa makini fanya maamuzi sahihi na mtu asikuamulie katika hilo ili usije jutia...
pia ulizia na ujue athari za 0713 ili ukiamua kufanya ujue madhara! pia kumbuka wanaume wapo wengi hata asipokuoa yeye utampata mwingine na usijefanya maamuzi ya ndoa ukajutia maisha yako yote..

daaah pole sana...
Angalia kuwa makini fanya maamuzi sahihi na mtu asikuamulie katika hilo ili usije jutia...
pia ulizia na ujue athari za 0713 ili ukiamua kufanya ujue madhara! pia kumbuka wanaume wapo wengi hata asipokuoa yeye utampata mwingine na usijefanya maamuzi ya ndoa ukajutia maisha yako yote..
 
Ni ngumu sana kuacha anaweza akajifanya kapotezea kwa sasa ila ndoa itakua ndoano utampa tuu....kama si kukimbia ndoa!
mahari rudisha mama aende kwa watoaji atakutesa tu....
 
Kuna wengine wapo ndani ya ndoa,
Lakini siku unafuma msg ya mchepuko anamwambia
amemfanya nyuma vizuri na anataka tena,

Lakini mume akijaribu hata kupiga brashi tu ugoooomvi
Yaani ataenda hadi kwa wazazi kusuluhishwa.

BORA HUYO AMEKWAMBIA UKWELI, ENDELEA KUCHEZA NA KIBARAZA MWANAWANE
 
Mbona thread mbili tena yaliyomo yaleyale?? ndo umevurugwa na mawazo au
 
ni ngumu sana kuacha anaweza akajifanya kapotezea kwa sasa ila ndoa itakua ndoano utampa tuu....kama si kukimbia ndoa!
mahari rudisha mama aende kwa watoaji atakutesa tu....

Na hilo ndo linanichanganya zaidi kwamba ataniheshimu ndani lakn nje atafanya mwishowe atanilazimisha maana tumeingia kwenye ndoa.
na ni mbabe sana sijui kwa sababu kasoma sana ananiona kama sina elimu maana ndo nachukua digree
 
sio lazima tatizo nampenda sana mpk nahisi ntapata shinikozo la damu kwa jinsi ninavoumia
Dada achana na umajinuni ati "nampenda sana" kama kweli unamhitaji mpeleke mahala husika akatoe kiapo na ajue taathira za ufuska huo !!! Halafu ndo uweze kujidhamini na utoe uamuzi bora....!! (still bado siyo mwisho wa dunia.... utabarikiwa tu)
kila la kheri na furaha maishani..
 
Bora umejua mapema atakwambia ameacha kumbe anaendelea......pia hutakuwa na amani wakati wa tendo la ndoa kwa kuogopa anaweza kusea njia
 
SINABAHATI

pima madhara ya kumpa au kumuacha iwapo ataendelea kukusumbua.......ukiona gharama za kumpa ni kubwa kuliko kumuacha muache and vice versa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom