Kwani si mlikutana kila mtu ana meno yake 32....ya nini umng'ang'anieSio lazima tatizo nampenda sana mpk nahisi ntapata shinikozo la damu kwa jinsi ninavoumia
huo ni upunguani hauna matibabu
mwache leo vinginevyo Disemba mwaka huu utakuja hapa ukiwa huna bikira yoyote
Hahahahah!! Moyo wa kupenda jamani unakuwa na kigugumizi sana,sema ajikaze tu amwache mambo hayo hayapendezi mbele za mungu na kwa binadamu pia. Kemea pepo hilo
Mmmh!!!!!!!!!!! bora mrudishe mahari yake, kwenye ndoa ndio utapata shida zaidi maana usipompa wewe ataenda kutafuta nje. tena mkemee akomeee na hiyo tabia kama haachi, mrudishieni mahari yake mapema. msije kufikia yaliomkuta muimbaji fulani wa injili.
Mtaje Jina Lake Huyo Mwimbishaji
Kwani si mlikutana kila mtu ana meno yake 32....ya nini umng'ang'anie
Samahan simpendi kwa sababu ya elimu wala kusoma nje nikumpenda tu kwa dhati ambapo sikutegemea tabia hizo na tunamiaka saba sasa katika mahusiano.nawaza nitawaambiaje wazazi kuhusu hili? na kiukweli pamoja na kumpenda moyo wangu unanituma kuachana maan pamoja hiyo tabia ni mtu mbabe sana.kiufupi hajui mwanamke anahitaji nn zaiddi ya kuniendesha kama mtoto mdogo